Afcon 2027
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 309
- 578
So far Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mengi ya kimaendeleo na ameona hali ya kisiasa nchini(to me, mama Hana deni at all, ameeendeleza miradi na kutuletea maendeleo, Amewajua fake and real kwa nchi yetu, briefly hana cha kupoteza)
Naamini mama aliletwa kwa mipango ya Mungu ya kuifanya nchi yetu ifike Caanan kwa tupatia katiba mpya na kutengeneza nchi yetu for our own good.
Nilikuwa najiuliza kwanini wengine washindwe ila niligundua ni kwasababu ya watu walowaweka madarakani hawataki transformation. Naamini mama unaweza kufanya mengi including katiba mpya for the success of our country.