Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Loliondo FM Loliondo FM Habari za Jumla Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi 7 May 2024, 11:17 am Mwenyekiti wa bodi...
0 Reactions
3 Replies
741 Views
https://www.youtube.com/watch?v=Ibe4QGL-jQc Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Suluhu Sports Academy Mkunguni- Kizimkazi Zanzibar, leo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Swali, Kama kweli Mnyika Kajiuzuru barua yake iko wapi? Pia soma Tetesi: - Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Mambo mengine ni Siasa za kishamba sana Kuisemasema Chadema kila dakika ni kuwafanyia Promo ya bure nyie CHAWA muelewe hilo Inakera sana 🐼
9 Reactions
15 Replies
773 Views
Kwanza ieleweke 2025 chama cha mapinduzi kina nafasi kubwa ya kuanguka kwenye uchaguzi mkuu. Endapo kama mama sa100 ndo atapewa nafasi ya kupeperusha bendara ya CCM kazi itakuwa nyepesi sana ya...
16 Reactions
64 Replies
4K Views
Wananchi wa Ngorongoro ambao tuliambiwa wamekubali kuama kwa hiari leo hii wametoa onyo kali kwa serikali. Hii ni baada ya serikali kutuma kikosi cha FFU na polisi kwenda kuzima maandamano yao ya...
37 Reactions
136 Replies
7K Views
Fuatilia tu tangu enzi za akina Mwangosi, Mo Dewji, Roma Mkatoliki, Ben nk utagundua Watu wanaopotea huwaga ni wale Akili kubwa, Wenye Maarifa na Ujasiri Kwanini mbumbumbu na CHAWA hawapoteagi...
4 Reactions
13 Replies
522 Views
Litakuwa jambo la mbolea mkifanya hivyo na you will win credt for that!
0 Reactions
1 Replies
185 Views
ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa,Othman Masoud Othman Mfumo wa sasa hivi kwamba Polisi wanapokea amri hasa ngazi ya Mkoa na...
1 Reactions
1 Replies
451 Views
HOSPITALI ZOTE NCHINI ZAAGIZWA KUHUDUMIA MGONJWA KWA MASAA YASIYOZIDI MATATU Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote na vituo vya Afya nchini kuhudumia...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Kutokana na kauli hiyo leo Rais anachelea kuchukua hatua au kukemea maovu yanayofanywa na wasaidizi wake ili asionekane hana msimamo kwenye matamshi yake kuwa ‘Yeye ni Chura Kiziwi’. Kwa...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Diwani wa kata ya Maboghini Moshi vijijini kwa tiketi ya chadema ambaye pia ni mwanasheria wa kujitegemea mjini Arusha ndugu Albert Msando, ametangaza kupambana na watu wote wanaomsema vibaya...
3 Reactions
46 Replies
7K Views
Binafsi kwa ufupi sana naweza kusema kama ifuatavyo: Strength: Tundu Lisu ni Kiongozi anayejiamini, Jasiri, Mwanasheria nguli na wakati wote hupendelea kutetea Wanyonge hivyo ni Mtu...
9 Reactions
59 Replies
1K Views
Tangu hukumu ya Mpina itolewe pale Bungeni, vijiwe na maeneo yote yenye mikusanyiko wanamlilia Mpina na wamewachukia kabisa wanaojiita Wabunge. Zaidi ya 98% wanaona Mpina hakutendewa haki. Zaidi...
14 Reactions
41 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia hivi punde wakati tunaingia mitamboni Haijulikani nini kitakachozungumzwa, unachotakiwa kufanya wala si kigumu, ni kuendelea kubaki hapa hapa JF
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya...
4 Reactions
71 Replies
4K Views
Moja ya faida kubwa ya kamata kamata ni kutia watu hofu. Kamata kamata siku zote uishia kwa wenye fedha siyo maskini pekee. Hakuna mtu ataaingika na kiumbe asiyetoa chochote lazima uwepo...
0 Reactions
3 Replies
986 Views
Kwenye siasa wanasiasa huibua misemo ambayo mingine huja kuwa sehemu ya Lugha husika. Mchungaji Christopher Mtikila alileta misemo ya "Gabacholi" na "mlalahoi" na la mlalahoi linatumika mpaka...
2 Reactions
5 Replies
771 Views
Vijana ni kama wamewehuka hasa kwa sasa wamebaki wanasubuli tu mwabukusi amesema nini leo ili iwe topic siku nzima Hawajui kuwa selikali inaweza kuamua kulifuta hata hili li TLS likizingua
2 Reactions
13 Replies
528 Views
Back
Top Bottom