Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Binafsi sijawahi kusikia mtumishi wa TISS anakuwa maarufu zaidi wale walishika Ukurugenzi wa hiyo Idara! ila kuna mtu mmoja kila anapotajwa basi TISS lazima itajwe! Mbona umnaitumia idara yetu ya...
23 Reactions
287 Replies
41K Views
Baadhi ya wagombea nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA wilayani Serengeti wameeleza changamoto walizokumbana nazo katika harakati zao za kisiasa. Wameeleza kuwa rufaa walizowasilisha kupinga...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
GAVU AWASILI GEITA KUZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) Oganaisheni na Mjumbe wa Kamati Kuu Issa Gavu amewasili mkoani Geita kwa ajili ya kuzindua rasmi...
0 Reactions
2 Replies
651 Views
Hii ifike kwa OR TAMISEMI ni kwamba Watendaji kata wamekuwa kikwazo kwa watumishi kuomba sababu wanachajiwa 30k-50k ili wapate ñafasi na ndiyo chanzo cha idadi ya waombaji wamekuwa wachache
1 Reactions
4 Replies
376 Views
Vyama vya siasa wilayani makete mkoani Njombe vinavyoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa vimetakiwa kufanya kampeni za kistaarabu kwa kunadi sera zao kwa wananchi badala ya kutoa matusi au...
0 Reactions
0 Replies
443 Views
Hii ndiyo tabia ya viongozi wetu kupenda kusafiri, kuiona dunia. Yaani hata wanatafutiwa Ndege kwa ajili ya safari tu! Hiyo ni kazi ya maendeleo ya Taifa? Wakati MV Bukoba inazama mwaka 1996...
0 Reactions
1 Replies
369 Views
Akiongea na Waandishi wa Habari wa Dunia nzima leo, Freeman Mbowe, amefichua kwamba, ili kufanikisha wizi wa kura, Uporaji wa Uchaguzi na Uchafu wote kwenye Uchaguzi huo, Serikali ya Tanzania...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania ambaye pia ni Mwakilishi wa Japan...
0 Reactions
1 Replies
457 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini mkoani humo kutumia nafasi zao kuhamasisha waumini wajitokeze katika uchaguzi wa Serikali za mitaa na amani itawale. Makonda...
0 Reactions
3 Replies
701 Views
Huyu ni Mgombea wa nafasi katika Serikali ya Mtaa Mshikamano, huko Mbezi Louis, jijini Dar. Anaitwa Masoud “Lupenga” Mbaruku. Kwenye moja ya kampeni zake ameahidi kuwa watafanya vyovyote vile...
0 Reactions
4 Replies
539 Views
Zoezi la kupiga kura kwa ajili nafasi ya Mwenyekiti na Wajumbe mtaa wa Mwananyamala-Kisiwani jana, Oktoba 23 lilishindikana kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo baadhi ya majina kutokuwepo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimeona watu hawa wenye ushawishi mkubwa wametua Kongwa. Ni maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2025? Nani kati yao analitaka jimbo? Ni ziara ya kawaida au kimkakati?.
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Watanzania tuachage Ujinga na mambo ya Itikadi Kwenye masuala muhimu ya kitaifa yahusuyo Maendeleo yetu Nakumbuka mbwembwe za Ruto alipokutana na Biden akajimwambafy kuwa yeye ndiye Msemaji wa...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Na Otieno Peter Baraka Sote tunajua kuwa ilikuwa ni ndoto ya Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa kwa kuwa na viwanda vidogo,vya kati na...
0 Reactions
1 Replies
470 Views
Nimefuatilia kwa undani ishu ya Jengo la KKO, inside information ambazo sio RASMI zinaeleza kwamba Afisa alie process kibali cha gorofa lililokuwa likijengwa aliandaa ripoti na ilionesha hatari...
26 Reactions
79 Replies
5K Views
WAZIRI KOMBO APOKEA TAARIFA YA KAMATI MAALUM YA MAPITIO YA KITUO CHA DKT. SALIM AHMED SALIM Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, (Mb)...
0 Reactions
1 Replies
459 Views
Nimesikitishwa na vijana wajinga wasiojitambua walioitabiria mabaya timu yetu ya Taifa kisa tu kuna watu wananasibisha ushindi wa timu na mama Samia Rais wa nchi. Mimi si mwanachama wa chama...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Mara baada ya mama kuingia madarakani aliweka mazungira ya siasa vizuri mana kuna watu wangekufa kwa kukosa mkate wa kila siku. Ikumbukwe siasa ni ajira ila ajira hiyo jpm aliiondoa huku akijua...
2 Reactions
13 Replies
668 Views
Mshikemshike umeanza Imeelezwa kuwa wanachama takribani 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kilombero, mkoani Morogoro wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa...
0 Reactions
1 Replies
481 Views
1. Kuna lawama zimekuwa zikielekezwa kwa Mbowe kukubali maridhiano. Naamini Rais Samia alikuwa na conviction kubwa kuwa na maridhino, lakini wahafidhina (conservatives) ndani ya chama chake...
14 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom