Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TAARIFA KWA UMMA SMZ ichukue hatua stahiki kwa maafisa wa MIMCA na KMKM, waliohusika na udhalilishaji Watembeza Utalii Hivi karibuni kupitia Mitandao ya Kijamii tumewaona Askari wa Kikosi cha...
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Huo ndiyo ukweli wenyewe, hatuwezi kupractice demokrasia ya kutelewa kwa kulazimishwa, hata siku moja, Tukumbuke demokrasia hii ililetwa kwa bakora hapa barani kwetu Africa, bakora iliyotumika kwa...
2 Reactions
15 Replies
782 Views
Nguvu ya Watu Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa ina mataifa 7 na idadi ya watu zaidi ya milioni 312, ikiwa ni zaidi ya 20% ya watu wa Afrika. Umoja huu ni chachu ya maendeleo yetu. #EACat25...
0 Reactions
0 Replies
378 Views
Amesema anasikitishwa sana na mauaji na utekaji. Swali ni alijiuliza, kama ni kweli ilikuwaje akaurudisha kwa kumteua mtu mwenye tuhuma za kuondoa haki za watu kuishi? Mtu ambaye taifa kubwa lenye...
3 Reactions
4 Replies
517 Views
Katika miaka na siku za hivi karibuni Taifa letu limekumbwa na matukio ya aibu ya utekaji, mauaji ya kikatili , ulawiti na matendo mengine ya hovyo sana! Na katika matukio mengi ya hovyo...
1 Reactions
2 Replies
626 Views
WABUNGE WANAWAKE ZANZIBAR WAFIKA KASKAZINI UNGUJA, WAKAGUA MIRADI ILIYOTEKELEZWA Wabunge Wanawake Zanzibar wakiwemo Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum wameendelea na ziara yao ya...
1 Reactions
0 Replies
356 Views
Leo, ilikuwa siku ya kusomwa uamuzi wa kesi ya Habeas Corpus inayomhusu Mdude Mpaluka Nyagali dhidi ya RCO Songwe na wenzake wawili. Hata hivyo, kutokana na kuingiliana kwa usikilizwaji wa kesi...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Ni uongo kusema ya kwamba Tanzania inafuata mfumo wa vyama vingi. Ni kwamba serikali ya Mwinyi ya mwaka 1992 iliruhusu uwepo wa vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja. Na hili ndio tatizo...
2 Reactions
3 Replies
524 Views
Wakati wa mapambano ya kutafuta haki, unatakiwa kutafuta umoja wenye nguvu na kila mwenye dhamira njema bila ya kujali ukubwa au udogo wake. Pamoja na maneno mengi hasi na chanya, binafsi naamini...
1 Reactions
50 Replies
2K Views
Napitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Akizungumza kwenye moja ya mikutano ya kampeni Kigoma, mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho Anna Mghwira amesema, anawashangaa Uhamiaji leo kuanza...
2 Reactions
111 Replies
19K Views
29 November 2024 Makao makuu ya EAC Arusha, Tanzania Rais Yoweri Kaguta Museveni asema mbali ya kuadhimisha miaka 25 ya kufufuliwa EAC hapo mwaka 1999 https://m.youtube.com/watch?v=V3Uim1f150s...
0 Reactions
3 Replies
589 Views
Rais Yoweri Museveni akitoa somo zito la historia Novemba 29, 2024. Katika hotuba yake ya kihistoria, Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, jana tarehe 29 Novemba, 2024 katika kusherehekea...
1 Reactions
2 Replies
653 Views
Wakuu, Kwenye mkutano na wananchi Kigoma Novemba 29, 2024 Zitto amesema, haya ndio maelekezo ya kamati ya jimbo kuwa; "Mitaa yote 67 ambayo CCM wameipora tunakwenda mahakamani. Tunafungu akesi...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Mimi ni Mtanzania ila nimeumizwa sana na hiki kilichofanyika Serikali za Mitaa. Inawezekana vipi ukatumia mabilioni ya pesa kwenye taifa masikini ili tu ufanye uchaguzi wa kiini macho? Kwanini...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Huyu bwana anadai Kwa kunywa chake kuenguliwa licha ya kukata rufaa lakini jina lake lilirejeshwa kimya kimya na Rufaa ya Wilayani japo hakutaarifiwa. Alikuta jina lake siku ya kupiga kura na...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Nawaza tu Uchaguzi huu CCM atapata 95% CDM itapata 2% CUF itapata 1% ACT itapata 2% Kwa mantiki hiyo CCM itashinda kwa kishindo kikubwa. Sababu ziko wazi za kimtaji anzia. Sababu za kushindwa...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
hivi karibini Tundu Lisu amesikika na kuonekana kukikosoa na kukilaumu chama chake mwenyewe kwa kukituhumu kwa kulea rushwa ambayo imekithiri kwa sasa, licha ya kwamba na yeye ni miongoni mwa...
2 Reactions
76 Replies
3K Views
Kila mmoja ameshuhudia jinsi uchaguzi wa Serikali za mitaa ulivyoharibiwa na taasisi za usimamizi. Ni dhahiri kulifanyika maandalizi ya kutosha toka mwanzo kuuharibu uchaguzi huu, ndiyo maana...
1 Reactions
2 Replies
400 Views
Wakuu, Askofu Mkuu Jimbo la Dar na Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania, Juda Thadeus Ruwa'ichi anatoa tamko sasa hivi kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, Katika...
28 Reactions
233 Replies
12K Views
Back
Top Bottom