Wasalaam,
Leo naandika kwa uchungu sana kuhusu tabia ya makampuni ya simu hasa hawa tigo kukwepa kodi kila baada ya miaka 5.
Serikali ina viongozi ambao wengi wapo pale kwa maslahi yao na si...
Natoa tu angalizo baada ya kumsikiliza kwa makini KC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe
Tusijekuwa kama Jirani ambao sasa wanamtegemea Raila ndiye Kawa baba wa taifa
Namuona Makongoro...
Wakuu,
Huyu Zahoro Matelephone ni nani kiasi cha RC anakwenda kuzindua kiduka chake? Yaani ni kama Vile Chalamila ameenda kariakoo akazindua kaduka maeneo hayo akaenda na makamera kabisa kuonesha...
Wahenga walishaonya kuwa kusikia kwa kenge ni mpaka damu masikioni, inasikitisha sana genge la chadema liliongoza kumtukana na kumchafua hayati Edward Lowasa bila ushahidi wowote ndiyo hilo hilo...
Wazungu wanamsemo wao mashuhuri sana unaosema, there is no honor among thieves, wakimanisha kwamba wahalifu hawaheshimiani linapokuja suala la maslahi ama kugeukana. Sasa kwa watu wa namba...
Ndugu zangu Watanzania,
Chama cha Mapinduzi kinatoa shukurani za dhati kwa wanachama wake, wakereketwa,wafuasi na watanzania wote kwa ujumla wake kwa kukipigia kura nyingi za ndio na hivyo...
Hii Unyakuo wa Bwana wetu Yesu Kristo yawezekana ulishapita Sisi wala hatuna habari bado tunamsubiri tu
Yaani Vyama vilivyopata vijiji, Vitongoji na Mitaa vinalia Uchaguzi haukuwa huru Vyama...
Wakuu,
Wananchi tunaangusha hii nchi, kubaki kulalamika vitendo 0, ikifika muda wa kupiga haoooo tunaenda kupigia mifuko ya sukari na vitenge🤦♂️🤦♂️
====
Ni kweli kama maaskofu wa tanzania...
Wakuu,
Haya tuendelee na unafiki!
=====
Taasisi ya Focus on Tanzania (FOTO) imesema imeridhishwa na mchakato wote wa uchaguzi kwa namna ulivyoendesha kwa mujibu wa utafiti waliofanya na...
Utendaji wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia serikali ya awamu ya sita anayoiongoza umekua sumu kali kwa upinzani nchini kwani umewanyima wapinzani agenda za kusimama nazo kwenye majukwaa...
Wabunge wa Umoja wa Wanawake (UWT) Zanzibar (Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum) tarehe 28 Novemba, 2024 wameanza ziara rasmi kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya...
Poleni kwa uchaguzi walioshidwa, na hongereni, kwa washindi . Ukiwa mwanasiasa ni muhimu sana uwe smart na creative sana katika kufanya mamuzi sahihi na wakati sahihi.
Lengo la kuwa mwasiasa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), leo tarehe 29 Novemba, 2024...
Wenyeviti na wajumbe wote wa serikali za mitaa wametakiwa kuweka tofauti zao za kisiasa pembeni na badala yake wahamasishe na kuelimisha umma kushiriki katika shughuli za maendeleo.
Akitoa rai...
Sasa ni rasmi kwamba Mifumo ya Uchaguzi Tanzania imeparalysis.
Mfano:
CCM ni chama kinachotawala( Chama cha Mapinduzi)
Mchengerwa ni Mpiga kura wa CCM, Mwanachama wa CCM na Mbunge wa CCM...
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera.
Wakuu wa mikoa 10 wamebaki...
Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuwa kwa taarifa alizonazo, CCM ina makada sita waliofanyiwa vitendo...
Wakuu,
Tumeona ni chama kimoja tu ndio kilikuwa na sintofahamu kidogo kutoka kwao, kwahiyo hapa alikuwa anamaanisha ushindani ulikuwa kwati ya wao na CHADEMA pekee?
====
Katika mkutano wake...
VIONGOZI WALIOCHAGULIWA WAKATATUE CHANGAMOTO KWENYE MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI VYAO.
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla akizungumza na Waandishi wa Habari...
VYAMA 14 vya siasa vimesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana ulikuwa huru na haki.
Aidha vyama hivyo vimeipongeza serikali chini ya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan, kwa maandalizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.