Zanzibar ni Jamii yenye Nguvu tangu enzi za Awamu ya Kwanza, Nyerere aliwategemea zaidi Maalim Seif na Dkt. Salim Ahmed Salim kuliko Rashid Kawawa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
97,142
170,383
Kuna Vijana wanadhani Uwezo mkubwa wa Zanzibar Kwenye Siasa, Uchumi na Utamaduni vimeibuka ghafla tu, wanajidanganya mno

Zanzibar iko Juu kabla hata ya Muungano na kama unabisha Soma historia

Nyerere aliwategemea sana Maalim Seif na Dr Salim baada ya Kuwa amezinguana na Oscar Kambona

Hata sasa Kwenye Serikali ya JMT Wizara zinazofanya vizuri ni zile zinazoongozwa na Mawaziri kutoka Zanzibar Foreign, Internal Affairs na Uchukuzi

Nimesema haya Ili Watu wa zamani tusisahau historia na Vijana wetu wasome historia kama alivyoshauri Mh Hamza Waziri wa SMZ

Nakaribisha maswali 😃
 
Back
Top Bottom