Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwanasiasa na balozi polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele ikiwa strong and firm je hii ajali ya wabunge imetoa majibu kwa utabiri wa polepole?
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Hii ni habari mbaya kwa siku nyengine baada ya Sweden kusitisha ku fund kampuni ya Egypt, ambayo ndio walikua constructor wa mradi huu. ElSewedy...
12 Reactions
328 Replies
36K Views
Mwili wa Amani Simbayao aliyekuwa Mtumishi wa TRA utaagwa kesho huko Viwanja vya TRA Kurasini Mungu amlaze Mahali pema peponi Nimejulishwa na Mtumishi mmoja wa Bandari ambaye ni rafiki wa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa katiba,kazi za bunge ni kutunga sheria na kuisimamia serikali. Katika kazi hizo mbili,kazi ya kutunga sheria inafanywa na wanasheria wa serikali kusha kupitishwa na Bunge. Sheria...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
Wa Tanzania wenzangu ni vema tujiulize tumefikaje hapa? Ni mezaliwa Tanzania toka mwaka 1967 sijawai kuona Hali ya kutoaminiana Kati ya vyombo vya Dola na wananchi. Niwazi kuwa enzi hizo kama...
6 Reactions
13 Replies
629 Views
MUENDELEZO WA VITISHO NA MATENDO YA UKIUKWAJI NA UVUNJWAJI WA HAKI ZA BINADAMU YANAYOFANYWA NA JESHI LA POLISI NCHINI. Idara ya Haki za Binaadamu na Vyombo vya Uwakilishi wa Wananchi ya ACT...
1 Reactions
6 Replies
607 Views
Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza. Babu Biden kachoka. Arudi kwao huko Delaware akapumzike na wajukuu wake. Hii ni aibu...
29 Reactions
235 Replies
12K Views
Kutokana na vitendo vya utekaji, utesaji na pengine mauaji kushamiri katika Nchi hii, nakusudia kwenda The Hague(ICC) kuwashtaki baadhi ya wenye Mamlaka ili waiambie Mahakama ni kwa nini haya...
2 Reactions
11 Replies
636 Views
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Amani ya Mungu itawale kila mmoja kwa imani yake wanajf popote mlipo. Nimeoneshwa jambo ambalo sikutegemea kwa ndugu Makongoro Nyerere , sasa sijui ndo huyu mwanae na Baba wa taifa? Mungu...
13 Reactions
70 Replies
3K Views
Matukio ya Watu Kupotea katika mazingira ya kutatanisha, Kutekwa na wanaoitwa 'Watu Wasiojulikana', na wengine Kuuawa yameendelea kuzua hofu miongoni mwa Wananchi. Je, ni nini sababu ya Matukio...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Bunge lipo pale kwa maslani yao na sio kwa maslahi ya wananchi, wabunge wanapitisha sheria nyingi zisizo wanufaisha wananchi moja kwa moja mfano Tozo na kujiongezea mishahara. Mbunge anayeonekana...
3 Reactions
12 Replies
716 Views
Natoa tu angalizo kwa Sababu Wanasiasa Wetu wanaogopana mno na wale maskini wa Akili na Uchumi sasa wamegeuka kuwa Chawa. Kwenye kuambiana Ukweli ndipo yalipo maendeleo na Siyo hali sasa ya...
3 Reactions
8 Replies
430 Views
Ni swali tu hakuna utabiri wala lolote baya . Swali : Kwakuwa baada ya kifo cha shujaa Magufuli makamu wake Samia Suluhu Hasani alipewa nguvu ya kisheria ya kumalizia muda wa Magufuli kisha na...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Leo kabla ya mechi ya Azam yanga walisema wanaenda kuteka. Baadae wakaja kusema kuuteka uwanja. Sasa leo wametekwa au wamejiteka
3 Reactions
6 Replies
491 Views
- Yaliyopita yamepita tumwachie Mungu. - Uchaguzi umekwisha tujipange kwa uchaguzi ujao. - Wanachama wa Chadema tunawaomba mshirikiane na viongozi waliochaguliwa. Asanteni kwa kunisikiliza...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Wanasiasa wengi hawaelewi hii dhana ndio sababu mara kwa mara tunapoteana Ukitaka kuuelewa huu Utatu wa Mihimili ya Amani msikilize kwa makini CDF mstaafu General Mabeyo akielezea Siku za Mwisho...
0 Reactions
3 Replies
240 Views
Ukimsikia Raisi anaongea kule Geita unaweza dhania ni eneo lenya maisha ya juu kabisa kwa Raia ila ukweli kuna umasikini mkubwa sana kwa raia pale Geita, nenda huko Geita Vijijini kwa Msukuma...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Kuna wakati Uganda walimchukua Prof Lipumba akawasaidie kuimarisha uchumi wako, then wakamchukua Balthazar Mwenda kwenda kuimarisha Mifumo yao ya Kodi Wakati Ule Tanzania ilisheheni wasomi wa...
14 Reactions
60 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha Mh Mwigulu akizungumza na Waandishi wa habari amesema kwamba Wananchi wenyewe ndio walioshauri serikali iweke Tozo ili kupanua wigo wa mapato , na kwamba ilichofanya serikali ni...
5 Reactions
152 Replies
8K Views
Back
Top Bottom