Mheshimiwa Waziri Mkuu,
Katika uongozi kuna siku za pongezi na kuna siku za lawama. Kuna siku watu watakushangilia na kuna siku watu watakosoa kila hatua unayopiga. Hayo yote ni sehemu ya safari...
Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, amepongeza hatua za Serikali za kubana matumizi kupitia mapendekezo ya bajeti mpya, akieleza kuridhishwa na uamuzi wa kuondoa baadhi ya tozo kwa magari...
Wanaukumbi kuna hoja hii bungeni kumbe wenzetu wanazalisha sana mashoga. anadai huko mtaani kuna mashoga wengi sana,
https://www.facebook.com/reel/849500724676882...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amelitupia lawama kali Jeshi la Polisi nchini akidai kuwa limepoteza weledi na kugeuka kuwa chombo kinachotumika kisiasa dhidi ya wapinzani...
Ni vema mtu huyu akajulikana na kufahamika
Hii ni kwa SABABU Mtu huyu ni Mtekaji na Muuaji, Amenukuliwa ndani ya vikao vya Serikali akitoa kauli hiyo ya Kishenzi kwamba kila atakayebainika kutoa...
Ukweli ni kwamba kisiasa pamoja na taaluma yake ya uwakili Lissu alifuatwa na Mbowe akitokea NCCR-Mageuzi, Msigwa alitokea TLP 2005 alipata kura 8000 mgombea wa Chadema alipata kura 2000 ndipo...
Mambo yetu ili yanyooke mtoeni jamaa nje alafu moja kwa moja aje nyumba mithili ya meli ! Pale wanapoingia kwa code maalumu na hawaitani majina wanaitana chifu pili ukienda ijumaa aga kabisa...
Inasikitisha kuona kwamba maswali mengi yanayoulizwa bungeni yamekuwa ya kawaida sana, mara nyingine yakikosa uzito unaostahili kwenye chombo kikuu cha uwakilishi wa wananchi. Bunge linapaswa kuwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Super breakfast cha EATV radio leo Juni 17, 2026.
"Lissu ni mtu ambaye...
Kwa Nini Waziri Mkuu Lazima Awe Karibu na Wananchi? Mtazamo wa Kikatiba
Anaandika Thomas Joel Kibwana, Mchambuzi wa Siasa
Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya wabunge na wanasiasa wa upinzani...
Ndiyo, kama ulipata D 2 au hata 3 huwezi kuelewa. Hili genge liliundwa na hawa tunaoona wakisifia kazi zake (kazi za genge).
Kwani si mmeona watu wanasena fulani katekwa sababu ya ugomvi wa...
1. Suppose Rais wa Malawi anakuja hadharani na kuomba radhi kwa yaliyotokea 29.10.2025
2. Akiomba msamaha, akiomba tuanze ukurasa mpya.
3. Akatoa Katiba mpya as propounded by Warioba
4. Tume huru...
Nimepunguza bei kiwanja kutoka mil 60 hadi mil 45 heka 1 kipo kivule
heka 1 kina fensi pande 3 kimepakana na barabaran kubwa za mtaa pande 3 piga 0718 408 733
hati ya serikali za mtaa
mauziano...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesisitiza kuwa chama chake hakiamini katika vurugu bali kinafuata njia za kidemokrasia kupata uongozi. Akizungumza Juni 17, 2026 kwenye mahojiano...
Hamjambo wote!
Mapambano kwa sasa ni makali sana. Upande wa watetezi wa haki unapata damage kubwa kwa kupoteza wapiganaji wake kila kukicha.
Naona upande wa mabadiliko wamekosa Godfather au...
Kwa mfumo wa Tanzania ulivyo, tuna katiba za aina mbili. Katiba iliyoandika na katiba isiyoandikwa. Katiba isiyoandikwa ndio inafanya kazi zote kama, Mtu wa upinzani kupewa Uwaziri, Wanajeshi kuwa...
Nimejifunza kitu ktk uchambuzi wa vita vya Iran vs Marekani vs Isreal.
Waislam walioachambua vita hivi ndio wakichambulia hali halisi ya vita bila propaganda. Licha ya kutoinesha imani yao ktk...
Watanzania sisi ni wanafiki sana haijawahi kutokea, mtanzania mnaweza kupanga jambo pamoja lakini mbele akakusaliti sijui ni roho mbaya au wivu?
Ngoja niwaambie, sisi watanzania sio waoga ila...
Barua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana.
Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea...
Katiba ya jamuhuri ya muungano imeluhusu maandamano kama njia ya wananchi kufikisha hisia, Changamoto zao kwa serikali ziweze kutatuliwa. Je nyie mnaozuia maandamano amuoni kwamba mnavunja katiba...