Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,827
- 50,499
CCM Kila siku huishambulia CHADEMA kuwa inapotosha watanzania. Lakini CCM haisemi ukweli ni upi dhidi ya huo wanaouona ni upotoshaji wa CHADEMA.
Kama kinachosemwa na CHADEMA ni upotoshaji na CCM haina ukweli dhidi ya hicho kinachosemwa, basi CHADEMA haifanyi upotoshaji.
Uongo hupingwa kwa ukweli na kama hakuna ukweli dhidi ya uongo, basi huo unaosemwa kuwa ni uongo, NDIYO UKWELI WENYEWE.