Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ni tahadhari yangu kwa Mbowe kuwa ustaarabu na uvumilivu wake sasa ufike kikomo, vinginevyo kuna siku watu watakuzomea kama ilivyokuwa kwa Masauni leo kwenye msiba wa Mzee Kibao. Wenzako...
22 Reactions
62 Replies
4K Views
Heri ya Christmas Wanajamvi. Mjadala wa CHADEMA, kwa sasa ndio habari ya mjini, hata kwa wasiofuatilia Siasa. Imefikia hatua hata uteuzi na uapisho uliofanyika Ikulu ndogo ya TUNGUU uliofanyika...
1 Reactions
0 Replies
337 Views
Pokeeni Salam za Christmas kutoka Kwa Rais wa TLS Mh BAK Mwabukusi Kwa Watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi Yetu hii nzuri sana Salaam Maalum Ukurasani X Ahsanteni Sana Merry Christmas 🌹😃🐼🔥
1 Reactions
6 Replies
465 Views
kwa jicho la mbali naweza sema Lissu alipanga haya yanayotokea siku nyingi, pengine hata zaidi ya miezi 12 nyuma, na aliamua wapumbaza team Mbowe. Kwa hali ilivyo sasa Team Mbowe wanacheza game...
5 Reactions
12 Replies
842 Views
Siku moja tu baada ya Lissu kutumia masaa 4 akiwahutubia Watanzania na kuwapa sababu za kwa nini anatangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, huku nyuma Mbowe akaibuka na igizo la kuvamiwa na watu...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Amani wadau. Wengi wanahoji kwa nini serikali ya Tanzania haijafanya lockdown kama zilivyofanya nchi za Kenya, Rwanda ,Uganda ,USA etc.pia wadadisi wanajaribu kulezea madhara ya kutokufanya...
5 Reactions
116 Replies
10K Views
XxxxxX Twende Pamoja, kwa muda mrefu wapinzani wetu kisiasa wamekuwa wanasema udini na ukabila zaidi kwa swala la Ukabila wanalengwa watu kutoka mkoa wa Kilimanjaro anakotokea Mwenyekiti wetu wa...
17 Reactions
71 Replies
3K Views
TL alitwambia muda mrefu sana Abdul na Kiongozi CDM kumfuata kutaka kumpa Rushwa. Muda umeongea , Tumuamini lissu
1 Reactions
2 Replies
308 Views
Tulionya kuwa huyu hafai kuwa kiongozi wa taasisi kama hiyo lakini bado akina Fatuma , Lisu and wasomi wazuri wengine wakampigia kampeni. Ona sasa hawezi kufungua mdomo kukemea haya yanayoendelea...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimekuwa nikishauri sana CHADEMA wazuie makada na viongozi wao kuropoka hovyo na badala yake awepo msemaji kama ilivyo kwa CCM wakawa hawanielewi. Leo hii chawa wa Mbowe ndugu Yericko Nyerere...
1 Reactions
39 Replies
905 Views
Kuna tetesi kutoka viunga vya watu wakubwa kwamba mfumo (dola) imemtishia mzee Mbowe kuwa endapo hatagombea uenyekiti, basi wataweka hadharani asali yote aliyoilamba (miamala yote aliyopokea toka...
9 Reactions
50 Replies
2K Views
Wanabodi, Kwanza kabisa, tukubaliane kwamba CHADEMA ya sasa hivi imepoteza kwa kiasi kikubwa Imani kutoka kwa wananchi na ushawishi wa chama hiki kwenye masuala mbalimbali nchini ni mdogo sana...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
Pole Sana Mh Mbowe na hongera Sana , sikutegmea Kama ungeingia katika uchaguzi huu wa mwenyekiti Taifa Kama Underdog Yericko Nyerere achana na kuafanya ibadi zisizo eleweka maana dua za mizimu...
5 Reactions
12 Replies
653 Views
Huyu jamaa anajiita Mdude . Kwanza hana Elimu ya darasani , pili haelewi Kwa kina kuhusu siasa. Muda anaoutumia mitandaoni kuponda na kubeza wanasiasa bora angeutumia kuboresha Kazi zake za...
0 Reactions
2 Replies
323 Views
Yericko Nyerere Pitia hapa ujifunze kuwa mkweli. Kisha soma na hii hapa Kukemea uovu kunakofanywa na Lisu ni kutoa siri za chama? Hebu tueleze hapa umekuwa na ushirika na mfumo kwa muda...
16 Reactions
40 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa...
15 Reactions
335 Replies
25K Views
Nawaza tu kama raia wa kawaida na mawazo haya nimeyapata baada ya kununua dollar Moja kwa tshs 2800 Ni declare interest kwamba kwenye mambo ya uchumi mimi ni maamuma, ila wazo linajia kwamba...
3 Reactions
9 Replies
773 Views
Hili ndio Swali gumu kabisa la mwaka 2024 Pokeeni Salam za kheri ya Christmas kutoka kwangu Johnthebaptist na rafiki Zangu Mzee Mgaya, Ras Mtimanyongo, Mchungaji Erasto na Dr Akandunduma Merry...
2 Reactions
9 Replies
563 Views
Hadi sasa sijaona popote ambapo Tundu Lisu ametukana bali ninachoshuhudia ni Ushambuliaji ule ule wa Zamoyoni Mogella akiwa Simba na akiwa Yanga Lisu endelea kushusha Facts sisi CCM tunarekodi...
4 Reactions
10 Replies
459 Views
Mgombea Urais wa Tanzania jwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu alikutana na waandishi wa habari jijini Arusha na kuelezea msimamo wake kuhusu vitendo vya ushoga nchini. Katika majibu yake kwa...
10 Reactions
36 Replies
8K Views
Back
Top Bottom