Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nilimtembelea rafiki yangu mmoja ambaye ni mhadhiri pale Udsm na katikati ya maongezi likaja suala la uwezekano wa mtu kupata PhD bila kupitia taratibu sahihi. Hapo akasema kuna uchunguzi...
10 Reactions
137 Replies
10K Views
Ndio hivyo taarifa ya Kambi ya Freeman Mbowe chini ya Mratibu Mkuu ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria Mh Ntobi Uchafuzi ungefanyika leo, Mbowe angeshinda kwa 94% Ukurasani X...
3 Reactions
61 Replies
2K Views
Ukiwa Arusha mjini, mitaa ya Unga Limited, sasahivi yamebakia kuwa magodown, ila wazazi wetu wanatuambia miaka ya 70 na 80 kulikuwa na utitiri wa viwanda vingi sana. Na hiyo ni Arusha; ukienda na...
4 Reactions
20 Replies
849 Views
Baada ya kusota rumande kwa zaidi ya miaka minne kabla hajaachiwa hivi karibuni, hatimaye mfanyabiashara maarufu nchini, James Rugemalira ameanza harakati za kuzishtaki kampuni na taasisi za fedha...
7 Reactions
81 Replies
9K Views
Ndugu wanajukwaa, kwanza pongezi juu yenu wote kwa kukaribia kuuaga mwaka 2014. Ndugu zangu nchi hii toka miaka ya 2000+ imepita katika kizazi cha Ulafi kisicho na huruma hata kidogo...
1 Reactions
36 Replies
9K Views
Wadau, katika kile kinachoonekana kuwa huenda Bunge likaingia tena kwenye mgogoro na Mahakama juu ya sakata la ESCROW, Leo Mwanasheria wa IPTL na PAP, Joseph Makandege amesema kuwa wamepeleka...
4 Reactions
124 Replies
13K Views
Mtuhumiwa wa uhujumu uchumi mzee Rugemalira amesema yeye hajalipwa fedha yoyote kutoka account ya Escrow bali alilipwa na PAP. Rugemalira amesema amemuandikia barua Gavana wa benki kuu Prof...
54 Reactions
239 Replies
37K Views
Kwema Wakuu! Kadiri siku ziendavyo mioyo ya watu waliobakia kwa Mbowe inazidi Kufa na wanaamua kujisalimisha kwa kuamua kumpumzisha Mwenyekiti ili kukinusuru chama. Kila siku lazima atoke...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Baada ya bunge kwenye kikao cha asubuhi kusema swala la Escrow limeingizwa kwenye ratiba na ripoti itawasilishwa kuanzia jioni ya leo. Tujumuike kwa pamoja kuhabarishana yanayojiri jioni hii...
99 Reactions
2K Replies
230K Views
Wakati Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wakichachamaa wakisema hawatakubali Bunge hilo kuingiliwa na mhimili wa Mahakama, Mahakama hiyo imejiweka kando na tuhuma hizo. Sakata hilo...
5 Reactions
173 Replies
25K Views
Wanabodi, Preamble Mtu mwenye akili na mwenye busara, anapojikwaa na kuanguka, anaangalia mahali alipojikwaa, ili kuipata sababu iliyomfanya ajikwae na kuanguka, badala ya kuangalia alipoangukia...
11 Reactions
75 Replies
13K Views
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake IPTL -Independent Power Tanzania Limited. Hukumu hiyo imetolewa na mahakama ya inayoshughulika na migogoro ya uwezekaji, ICSID...
11 Reactions
761 Replies
89K Views
Tumesikia toka kwa wanachama wa CHADEMA kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo. Tunauliza, Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, hawa viongozi wa serikali walioruhusu mabilioni ya Tegeta Escrow Account kutolewa Bank Kuu (BOT) kwanini hawajaunganishwa kwenye kesi ya jinai ya...
16 Reactions
27 Replies
5K Views
Huyu alikuwa Mwanasheria Mkuu awamu ya nne. Anasema nchi imepitia magumu sana awamu ya Magufuli. Kwamba Rais alitumia vibaya madaraka makubwa aliyopewa kwenye katiba iliyopo.
26 Reactions
97 Replies
8K Views
Utangulizi: Katika jamii zetu za Kiafrika, dhana za usultani, umangi, na uchifu zimekuwa na mchango mkubwa katika utawala na usimamizi wa mambo ya kijamii. Hata hivyo, wakati mwingine, mifumo hii...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
=== Billionaire wa Kihindi na tajiri namba mbili barani Asia Mr Gautam Adani anayetajwa pia kuwa ni miongoni mwamatajiri kumi ( 10 ) duniani anakabiliwa na tuhuma za kuahidi kutoa rushwa ya...
13 Reactions
194 Replies
9K Views
=== Mtakumbuka Rais wa Kenya William Ruto, aliagiza kusitishwa kwa kandarasi ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa JKIA na ya nishati iliyopewa kampuni ya Adani kutoka India. " Naelekeza...
13 Reactions
97 Replies
4K Views
π‹πˆπ’π’π” π€πŠπˆπ‘πˆ π‚π‡π€πƒπ„πŒπ€ πŠπ”ππŽπ“π„π™π€ πŒπ€π„π‹π…π” π˜π€ π–π€ππ€π‚π‡π€πŒπ€ πŠπ–π€ πŒππˆπ†πŽ. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameonesha mfadhaiko mkubwa, baada ya kukiri hadharani kuwa chama chake kimepoteza zaidi ya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Taarifa kutoka kwenye kambi yake ya Uchaguzi wa Uenyekiti wa Chadema inaeleza kwamba, Mgombea huyo ambaye kwa sasa ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema atalihutubia Taifa katika kile kinachoitwa...
14 Reactions
30 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…