Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,499
- 10,538
Nilimtembelea rafiki yangu mmoja ambaye ni mhadhiri pale Udsm na katikati ya maongezi likaja suala la uwezekano wa mtu kupata PhD bila kupitia taratibu sahihi.
Hapo akasema kuna uchunguzi ulifanyika karibu mwaka mzima umepita na ripoti imeishia pale utawala. Ilikuwa ni katika routine ya kawaida kuangalia ubora wa kazi za wanafunzi wa miaka ya nyuma zilizopitishwa.
Huko udasa hizi tetesi inaonekana zinaongelewa na Prof Mwandosya aliwahi kuhoji hapa mwaka jana Prof. Mark Mwondosya atilia mashaka shahada za uzamivu wanazotunukiwa wanasiasa, ahoji vigezo au viwango vimebadilika?? Inasemekana kwamba PhD tajwa hapo juu ni mojawapo.
Kama ni kweli basi Prof Anangisye ajivike ujasiri na kuufahamisha umma wa watanzania.