Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yesu Kristo aliishi kwa miaka 33 umri ambao Mbowe kaishi ndani ya CHADEMA Ni sawa Mbowe alikuwepo wakati Tuntemeke Sanga anaasisi CHADEMA lakini hakuwa miongoni mwa wale Mitume 6 wa CHADEMA...
3 Reactions
6 Replies
684 Views
Alute Munghwai, kaka yake Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameonyesha kukerwa na kauli za Freeman Mbowe na Tundu Lissu, ambazo wamekuwa wakirushiana kwenye mahojiano. Wagombea hao wa...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Kamati tendaji ya Kanda ya Serengeti katika kikao chake cha jana Jumatano Januari 08, 2025 kimefikia maamuzi ya kumvua Uongozi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw. Emmanuel Ntobi kutokana...
26 Reactions
158 Replies
7K Views
Ninahakika watawala hivi sasa wako shocked na yaliyomo katika kitabu cha Mwandishi, Erick Kabendera kilichopewa jina la "IN THE NAME OF PRESIDENT " Watawala wataanza kuingia hofu kumbe hakuna...
24 Reactions
58 Replies
4K Views
Kuna watu wanaugua nafsi zao wakimwona mjomba angu anafanikiwa katika juhudi zake za kulinda kikoba kwa wivu mkubwa. Kama mnadhani ni rahisi sana, anzisheni chakwenu. Makamanda najua mnamwelewa...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kumekucha kumekucha Gambo Mkuu Gambo kaambiwa maneno machache tuu, ‘Hudhuria kwenye vikao’ almanusura adondoke chini kwa shambulizi la moyo. Nikagundua kumbe alikuwa yupo mbele ya wateja wake...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alipokuwa akizungumza na clouds amesema "Hapa Dar es Salaam kila Mtaa unaouona una uongozi wa CHADEMA wa Baraza la Chama, la viongozi wa chama. Na katika...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni wazi kuelekea uchaguzi wa chadema ngazi ya Taifa, kuna wagombea wasio wazalendo, makuwadi wa mabenyenye ya magharibi, wanaokusudia kuigawanya, kuisabaratisha na kuipoteza kabisa chadema kwenye...
4 Reactions
27 Replies
906 Views
Wanabodi, Niko hapa Hyatt Regency, zamani Kilimanjaro Kempiski, kuwaletea mkutano wa Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast. Freeman...
22 Reactions
228 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amesema Chadema iliasisiwa kama Chama kinachoamini Kwenye Uhuru wa soko, Uhuru wa Watu Kufanya Biashara na kuhimiza Uwekezaji na kuchochea Wawekezaji wa Nje...
0 Reactions
2 Replies
431 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna kitu CHADEMA wanapaswa kujifunza kutoka CCM basi ni suala zima la kusimamia maadili, nidhamu,sheria,kanuni, taratibu,miongozo na katiba ya chama.Ndani ya CCM...
0 Reactions
116 Replies
3K Views
Ameyasema hayo kupitia ClubHouse kujadili hotuba ya Tundu Antipas Lisu kulinganisha na hotuba ya Rais Samia hapo jana. Dkt Slaa, amesema Lisu amezungumza mambo muhimu na msingi kuliko Rais Samia...
29 Reactions
36 Replies
3K Views
✳️JOKATE AWAPA TANO VIJANA KWA MAANDALIZI MAZURI YA MKUTANO MKUU CCM. Na Mwandishi Wetu KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate Mwegelo amesema jumuiya...
0 Reactions
0 Replies
385 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
11 Reactions
364 Replies
10K Views
“Dhana ya uongozi wa kisiasa inakwenda na dhana ya malengo, maono, dream si kila wakati ku-quit ni suluhisho, kwa hiyo lengo letu ni nini? Ni kukamata dola. Lengo hili halijatimia”
0 Reactions
2 Replies
433 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo...
8 Reactions
196 Replies
8K Views
Tunaambiwa Hayati Magufuli alikuwa na tatizo la moyo,na tunafahamu kila ugonjwa una Masharti yake,sidhani kama mgonjwa wa moyo anatakiwa kubehave kama alivyobehave Hayati Magufuli. Ningekuwa mimi...
34 Reactions
74 Replies
7K Views
"Kwanza nizungumze kitu kinachoitwa ukomo wa madaraka, ndani ya taasisi ya Chadema na ujue Chadema ni chama cha siasa ni kundi la watu ambapo ukijunga na chama chetu kama ambavyo ungejiunga na...
0 Reactions
14 Replies
907 Views
Lissu: "Hakuna kuimbiana maridhiano yasiyokuwepo, hakuna tena habari ya kualikana kwenye vikao vya kuzungumza mambo yasiyojulikana. Bali ni muda wa mapambano ya kudai mabadiliko ya kimsingi ya...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…