Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,047
- 5,593
Alute Munghwai, kaka yake Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameonyesha kukerwa na kauli za Freeman Mbowe na Tundu Lissu, ambazo wamekuwa wakirushiana kwenye mahojiano. Wagombea hao wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa wanadaiwa kutoka nje ya mstari na badala yake walipaswa kueleza sera zao kwa wanachama.
"Kampeni zao kwa ujumla zinaenda vizuri ingawaje kwenye huu mnyukano hawa wagombea hasa wawili Freeman Mbowe na bwana Tundu (Tundu Lissu) kuna maeneo ambayo wameenda nje ya Reli, badala ya kujadili hoja wameanza kurushiana maneno ambayo siyo ya staha..."
Pia, Soma: