Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Freeman Mbowe, aliykuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ame-share ujumbe wake wa kiroho na wanachama wa chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani. Kupitia mtandao wa kijamii, wa X (zaman Twiter) Mbowe...
17 Reactions
49 Replies
3K Views
Mabalishano ya uongozi yaliyotokea hivi karibuni CHADEMA yamepokelewa vizuri sana na wapenda demokrasia ndani na nje ya nchi. Kuna umuhimu kwa wanachama wa CHADEMA na wapenda demokrasia wote...
2 Reactions
1 Replies
364 Views
Kama wewe ni kijana na unaamini katika kulitumikia taifa kama diwani au Mbunge anza kujiandaa kwenda kugombea. Mfumo umebadilika na fikra zimebadilika. Wapiga kura sasa hivi ni vijana na vyama...
2 Reactions
7 Replies
502 Views
Ndugu zangu haya maneneo aliyasema Edo mwenyewe, lile gwiji la siasa haya maneno yanachembe chembe nyingi za ukweli, kwani leo uwezi kusikia mtu au kiongozi anasimama na kusema elimu ni ufunguo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi - (PPP) David Kafulila awataka wananchi kutosubiri tangazo la zabuni za Serikali. Mkurugenzi Kafulila ameeleza njia nne Sekta...
10 Reactions
42 Replies
1K Views
Kwa upepo wa kisiasa unavyo vuma hivi sasa, Makonda ni mtu sahihi kueneza sera za chama tawala kuelekea uchaguzi mkuu Uzuri wa Makonda ni proactive Ushauri wangu ni huo Makonda na Polepole...
0 Reactions
13 Replies
785 Views
Wakuu ujumbe wa Boni kwa boss wake wa zamani == Freeman Aikaeli Mbowe Kwangu umekuwa siyo tu kiongozi wangu wa chama bali ni mwalimu, mwanafalsafa,mkufunzi,mzazi,mlezi na rafiki wa kweli. Wewe...
23 Reactions
85 Replies
5K Views
Niweke wazi msimamo wangu toka awali, kwamba nilikuwa naunga mkono uongozi wa ziada wa Freeman Mbowe kwa miaka mingine mitano. Lakini zaidi ningependa aondoke kwa kupewa heshima anayostahili, sio...
2 Reactions
12 Replies
676 Views
SAMIA HOUSING SCHEME Mradi wa ujenzi wa nyumba kwaajili ya makazi ya Kaya (Familia) 5,000 unaotekelezwa kwa awamu wa Kawe Jijini Dar es Salaam, umekamilika kwa asilimia 78% na upo kwenye hatua...
9 Reactions
72 Replies
4K Views
Salaam. Kwa kuwa January Makamba ni mchapa kazi na anakubalika na wanachama wa Chadema basi tunamuomba achukue kadi ya chadema haraka sana ili tumpitishe kugombea urais mwaka 2020 akipambana na...
18 Reactions
134 Replies
13K Views
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Karagwe. ____ 1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote...
4 Reactions
5 Replies
486 Views
Mikakati ya Mbowe kumwengua Lissu kwenye nyadhifa ya vice chairman haikuwa bahati mbaya. Ilikuwa planned vizuri, na mwishowe angefukuzwa uanachama kwa hisani ya chama kile kilichofadhili kampeni...
2 Reactions
12 Replies
712 Views
Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye hafla ya utoaji tuzo, Rais Samia ametangaza kwamba kwanzia mwaka kesho tuzo hizo hazitakuwa chini ya TRA lakini zitakuwa chini ya Rais. Rais Samia amesema...
0 Reactions
3 Replies
471 Views
Wanabodi, Leo nimepata fursa ya kuliangalia bunge live asubuhi hii kupitia TBC-1, Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda ameshindwa kabisa kuliendesha Bunge!, amepwaya sana na ameendesha kikao cha leo...
43 Reactions
237 Replies
26K Views
Wanabodi, Juzi katika kikao cha bunge, Spika wa Bunge, Mhe. Anne Maklnda, alimtaja Mbunge wa Singida, Mhe. Tundu kama ndie Mbunge anayeongoza kuwa chanzo cha vurugu za bungeni, kwa kuongoza kwa...
59 Reactions
241 Replies
36K Views
Mwenye CV yake atuwekee ili tuichambue kwa kina isije kuwa ndio walewale akina PK na M7 2025 siyo mbali jamani na alitakalo mmarekani huwa 2020 Tundu Lissu alikuja " kibabe" sana kugombea Urais...
6 Reactions
101 Replies
7K Views
Kuna mashabiki na wanachama wamekuwa wakitishia kwamba endapo Lissu hatokuwa mwenyekiti wa Chadema basi wataondoka nae kwenye chama. Wanapiga mikwala hiyo ili kushinikiza Mbowe amuachie kiti...
10 Reactions
75 Replies
3K Views
Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni kwamba familia ya kihindi ya Ladwa inatumia hati za kusafiria za Tanzania na Uingereza. Vyombo vya habari na baadhi ya watu wameenda mbali zaidi kusambaza...
10 Reactions
49 Replies
9K Views
Ni katika sherehe za kuwakabidhi Tuzo Walipa Kodi Bora nchini Mlipa Kodi maarufu zaidi nchini ni S S Bakhresa Mlipa Kodi mkubwa ni NMB Na huyo Kijana Shujaa wa Tegeta Tukio liko mubashara...
1 Reactions
0 Replies
289 Views
Tundu Lissu - Mwenyekiti mpya CHADEMA 2025 - 2029 John Heche Makamu Makamu Mwenyekiti mpya 2025 - 2029 Hongereni sana ndugu zetu Tundu Lissu na John Heche. Pia soma Pre GE2025 - Freeman...
10 Reactions
36 Replies
4K Views
Back
Top Bottom