Idara ya Uhamiaji mmewaruhusu vipi akina Ladwa kumiliki ardhi ikiwa mnakiri wao siyo raia

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni kwamba familia ya kihindi ya Ladwa inatumia hati za kusafiria za Tanzania na Uingereza. Vyombo vya habari na baadhi ya watu wameenda mbali zaidi kusambaza nyaraka hizo mitandaoni.

Idara ya Uhamiaji katika kujibu hoja hii wameeleza kwamba watajwa walikoma kuwa RAIA wa Tanzania na sasa wanaishi nchini kama RAIA wa kigeni wakiwa na vibali halali.

Nimeangalia pia pasipoti zinazosambaa mitandaoni na naomba nikubaliane na Uhamiaji kwamba pasipoti inayosambaa mitandaoni ya Tanzania inaonekana ilitolewa zamani kabla ya pasipoti ya Uingereza jambo ambalo linaashiria kwamba hawa walikuwa RAIA wa Tanzania wakaukana utanzania na kupata uraia wa Uingereza

Kwa upande mwingine naomba niombe uhamiaji watoe pia ufafanuzi, hawa RAIA wa uingereza ambao awali walikuwa RAIA wa Tanzania wanaendeleaje kumiliki mali kama Watanzania wakati katiba na sheria zinakataza?

Ardhi wanayomiliki wanatumia uraia gani? Kama wanatumia uraia wa Tanzania kumiliki ardhi ,Uhamiaji na wizara ya ardhi awaoni kama haya ni makosa?

Malalamiko yanasema wanafukuza wapangaji kwenye nyumba za NHC, ni lini wageni wamepewa mamlaka yakufukuza wapangaji katika nyumba za shirika la umma? NHC mnawezaje kumvumilia mgeni aje atawale mali za umma na kuwafundisha wananchi namna ya kuzitumia? Kiburi wanatoa wapi?

Waziri wa mambo ya nje, hawa akina Ladwa ndio tuliowatungia sheria ya kuwapa hadhi maalumu? Na je hadhi maalumu itawapa nguvu hawa wahindi kutawala?
 
Wewe unashangaa vipi watu hao kupata pasi wakati humu malalamiko kuhusu idara hiyo yapo sana.

Kuna watu wakitoa pesa ile iliyoandikwa kwa ajili ya pasi ya kusafiria wanapigwa kalenda ilhali akija mtu na 400k ananyenyekewa maana hizo ofisi kuna hadi vishoka wa kuharakisha zoezi kwa atakayepenyeza rupia kwenye udhia.

Jana ukurasa wa tamisemi unapost habari za Samia kuchukuliwa fomu ya kugombea urais.

Jionee hapo kurasa ya uhamiaji vitu inavyoweka halafu nenda kurasa rasmi ya uhamiaji ya Kenya utajifunza kitu.
IMG-20231115-WA0001.jpg
 
Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni kwamba familia ya kihindi ya Ladwa inatumia hati za kusafiria za Tanzania na Uingereza. Vyombo vya habari na baadhi ya watu wameenda mbali zaidi kusambaza nyaraka hizo mitandaoni...
How can it allow such a thing happen?
 
Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni kwamba familia ya kihindi ya Ladwa inatumia hati za kusafiria za Tanzania na Uingereza. Vyombo vya habari na baadhi ya watu wameenda mbali zaidi kusambaza nyaraka hizo mitandaoni...
CCM imetekwa na raia feki wameshika hadi ikulu ...nimesema ili jambo siyo mara moja ...ndiyo maana wanapendeleana kisheria na kutaka kubadili sheria za umiliki ardhi .....raia feki wana kibaraka ikulu naye ni samia huyo ni mmoja wao...wapo wengi sana jamii ya kina rostam azizi
 
Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni kwamba familia ya kihindi ya Ladwa inatumia hati za kusafiria za Tanzania na Uingereza. Vyombo vya habari na baadhi ya watu wameenda mbali zaidi kusambaza nyaraka hizo mitandaoni.

Idara ya Uhamiaji katika kujibu hoja hii wameeleza kwamba watajwa walikoma kuwa RAIA wa Tanzania na sasa wanaishi nchini kama RAIA wa kigeni wakiwa na vibali halali.

Nimeangalia pia pasipoti zinazosambaa mitandaoni na naomba nikubaliane na Uhamiaji kwamba pasipoti inayosambaa mitandaoni ya Tanzania inaonekana ilitolewa zamani kabla ya pasipoti ya Uingereza jambo ambalo linaashiria kwamba hawa walikuwa RAIA wa Tanzania wakaukana utanzania na kupata uraia wa Uingereza

Kwa upande mwingine naomba niombe uhamiaji watoe pia ufafanuzi, hawa RAIA wa uingereza ambao awali walikuwa RAIA wa Tanzania wanaendeleaje kumiliki mali kama Watanzania wakati katiba na sheria zinakataza?

Ardhi wanayomiliki wanatumia uraia gani? Kama wanatumia uraia wa Tanzania kumiliki ardhi ,Uhamiaji na wizara ya ardhi awaoni kama haya ni makosa?

Malalamiko yanasema wanafukuza wapangaji kwenye nyumba za NHC, ni lini wageni wamepewa mamlaka yakufukuza wapangaji katika nyumba za shirika la umma? NHC mnawezaje kumvumilia mgeni aje atawale mali za umma na kuwafundisha wananchi namna ya kuzitumia? Kiburi wanatoa wapi?

Waziri wa mambo ya nje, hawa akina Ladwa ndio tuliowatungia sheria ya kuwapa hadhi maalumu? Na je hadhi maalumu itawapa nguvu hawa wahindi kutawala?
Ila Watanzania ni wapole sana, yaani upole wetu ni beyond viwango vya upole, hawa huwa wanafanta Tanzania pekee, hata hapo kenya hawawezi jaribu.

Walisha wasoma Watanzani Wakajua ni full mazezeta ndio maana wanaweza wanyanyasa ndani ya nchi yao.

Kwenye Swala la kumiliki aridhi kuna utata sana make hata Arusha kuna Wazungu wana milik Aridhi.
 
ni watanzania kama wewe au zaidi yako rangi yako isikufanye ujione wewe mtanzania halisi kwanza adamu na hawa hawakuumbwa rangi yako na mungu aliwaambia wakaitawale dunia leo wewe unasema nchi yako hii
 
Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni kwamba familia ya kihindi ya Ladwa inatumia hati za kusafiria za Tanzania na Uingereza. Vyombo vya habari na baadhi ya watu wameenda mbali zaidi kusambaza nyaraka hizo mitandaoni.

Idara ya Uhamiaji katika kujibu hoja hii wameeleza kwamba watajwa walikoma kuwa RAIA wa Tanzania na sasa wanaishi nchini kama RAIA wa kigeni wakiwa na vibali halali.

Nimeangalia pia pasipoti zinazosambaa mitandaoni na naomba nikubaliane na Uhamiaji kwamba pasipoti inayosambaa mitandaoni ya Tanzania inaonekana ilitolewa zamani kabla ya pasipoti ya Uingereza jambo ambalo linaashiria kwamba hawa walikuwa RAIA wa Tanzania wakaukana utanzania na kupata uraia wa Uingereza

Kwa upande mwingine naomba niombe uhamiaji watoe pia ufafanuzi, hawa RAIA wa uingereza ambao awali walikuwa RAIA wa Tanzania wanaendeleaje kumiliki mali kama Watanzania wakati katiba na sheria zinakataza?

Ardhi wanayomiliki wanatumia uraia gani? Kama wanatumia uraia wa Tanzania kumiliki ardhi ,Uhamiaji na wizara ya ardhi awaoni kama haya ni makosa?

Malalamiko yanasema wanafukuza wapangaji kwenye nyumba za NHC, ni lini wageni wamepewa mamlaka yakufukuza wapangaji katika nyumba za shirika la umma? NHC mnawezaje kumvumilia mgeni aje atawale mali za umma na kuwafundisha wananchi namna ya kuzitumia? Kiburi wanatoa wapi?

Waziri wa mambo ya nje, hawa akina Ladwa ndio tuliowatungia sheria ya kuwapa hadhi maalumu? Na je hadhi maalumu itawapa nguvu hawa wahindi kutawala?
Lakini Mimi mpaka Leo passport nimenyimwa na nimezaliwa hapa nimesomea hapa wazazi wote tz yani ukoo .kisa rushwa sababu kutokea kigoma.MAGUFURI lala salama vijana huku tunaumia
 
Wewe unashangaa vipi watu hao kupata pasi wakati humu malalamiko kuhusu idara hiyo yapo sana.

Kuna watu wakitoa pesa ile iliyoandikwa kwa ajili ya pasi ya kusafiria wanapigwa kalenda ilhali akija mtu na 400k ananyenyekewa maana hizo ofisi kuna hadi vishoka wa kuharakisha zoezi kwa atakayepenyeza rupia kwenye udhia.

Jana ukurasa wa tamisemi unapost habari za Samia kuchuliwa fomu ya kugombea urais.

Jionee hapo kurasa ya uhamiaji vitu inavyoweka halafu nenda kurasa rasmi ya uhamiaji ya Kenya utajifunza kitu.
View attachment 2850122
Yan uhamiaji wamepost hii? , au ni fake?
 
Back
Top Bottom