Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua...
41 Reactions
994 Replies
73K Views
Napenda kusema ya kwamba ushindi wa CHADEMA dhidi ya uharamia wa CCM unakaribia. Ni muda mrefu CCM wamefanya machukizo dhidi ya CHADEMA ila Mungu amekaa kimya. Sasa mwaka huu Mungu atajifunua...
5 Reactions
10 Replies
437 Views
Kila kukicha CCM huko na huko mara wafanye maandamano ya kumpongeza mtu, mara hivi, mara vile. Yatosha. Huyo mama kama amefanya mazuri msiwe na shaka kazi zake zitatoa hukumu kipindi cha kampeni...
0 Reactions
1 Replies
232 Views
"Mimi nimesoma Skuli ya Kajificheni darasa la kwanza na tulikuwa tunakaa kwenye boksi, darasa la pili tulipewa mabao tukakaa bao moja tunakaa watu watatu. Siyo mbali na miaka iliyopita lakini leo...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Huyu mwamba wa Afrika Captain Ibrahim Traore, ni mtu nilitaka kumwona machoni akiwa Dar. Huyu Rais Traore ni nyota ya mwafrika, na kila mwafrika mwenye kujielewa angependa kumtia machoni...
2 Reactions
5 Replies
841 Views
Naona mzee Wassira anatingisha mzinga wa nyuki kwa kuanza kuleta mipasho ya kitoto dhidi ya CHADEMA. Ombi langu kwa Wassira na CCM, mmeshachokwa, achaneni na Chadema. Kwa mawe ya Lissu...
41 Reactions
116 Replies
7K Views
Dr Bashiru ameacha funzo kubwa sana huko machame yaani kuomba msamaha pale upande wa pili unapokwazika na kauli za vijana wa CCM hata kama zilitafsiriwa ndivyo sivyo. Dr Bashiru amemuombea msamaha...
18 Reactions
110 Replies
11K Views
Hii imekuja baada ya chadema kugeuka chama cha kushangilia mabaya yote yanayoitokea nchi, mfano kukamatwa kwa ndege, kunyimwa misaada na korosho kukosa soko.
3 Reactions
145 Replies
13K Views
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha...
58 Reactions
327 Replies
35K Views
Ilikuwa siku tulivu sana na jana yake tulitumia kugonga moja baridi moja moto mpaka saa saba usiku na tukajiapiza hatutakaa tuombe msamaha kama walivyo fanya akina Makamba Jr na Ngeleja. Cha...
22 Reactions
127 Replies
14K Views
Nashangaa mnaowasakama wajawazkto na kusema wanajidekeza sijui wajifunze kuchagia huduma, wapuuzi kabisa! Huwa hamuoni mabilioni ya pesa yanavyotafunwa na kuripotowa kila mwaka lakini hakuna...
10 Reactions
22 Replies
1K Views
Waswahili wanasema "Akili ni nywele kila mtu ana zake" Najiuliza hii timing ya Mgogoro wa Chadema inaashiria nini wakati kumebakia miezi 10 tu kufikia Uchaguzi Mkuu wa Taifa? Nini hasa lengo la...
9 Reactions
124 Replies
6K Views
Mimi nilichojifunza ni kuwa serikali ya sasa imeanza kubadilika kwenye nyanja ya mawasiliano kwa umma hasa namna ya kukabiliana na tuhuma na uzushi wa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia kwenye...
92 Reactions
907 Replies
86K Views
Wanabodi Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali, hoja na majibu utaweka mwenyewe. Hoja ya leo ni kuhusu usikivu wa Rais Samia, hakuna...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Hii Chadema ya Lissu ni tofauti sana na Chadema ya Mbowe hasa kwenye njia za kupata pesa. Lissu na team yake wanataka Chadema iwe ya kisasa pamoja na mengi ushauri wangu ni huu Fungueni Chadema...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Wanabodi, Kitu chanye nguvu kuliko kitu chochote duniani ni imani!, faith, ukiamini unafungulia milango ya nguvu fulani zilizoko ndani yako zinazoitwa "will power" ni nguvu za nafsi ambazo zina...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ikiwa ni Jumapili, Januari 26, 2025 ni siku ya nne pekee tangu kuzinduliwa kwa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mnamo tarehe 24 Januari, 2025 mkoani Mtwara, kampeni hiyo imeendelea...
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Rombo ambaye pia ni Meneja wa Mtangazaji maarufu nchini Joyce Kiria Mh Henry Kilewo amemshukia vikali mjumbe wa CC ya Chadema Mh Godbless Lema Kwa kutomuunga...
0 Reactions
5 Replies
633 Views
Kurugenzi ya Mapato ya Ujasusi nchini India (DRI) imewakamata Raia wawili kutokea nchini Tanzania kwa madai ya kuhusika na usafirishaji wa kilo 1.5 ya madawa ya kulevya aina ya Cocaine yenye...
11 Reactions
120 Replies
10K Views
Mkuu wa mkoa wa DSM Albert Chalamila amewaomba wananchi wa Dar kuwa wakarimu Kwa wageni wetu RC Chalamila amesema Wingi wa police mitaani ni katika kuimarisha Ulinzi lakini wananchi wasiwe na...
0 Reactions
3 Replies
328 Views
Back
Top Bottom