Sitasahau siku ambayo Nape Nnauye alipotembea kwa miguu Ikulu kwenda kuomba msamaha

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Ilikuwa siku tulivu sana na jana yake tulitumia kugonga moja baridi moja moto mpaka saa saba usiku na tukajiapiza hatutakaa tuombe msamaha kama walivyo fanya akina Makamba Jr na Ngeleja.

Cha kushangaza kesho yake mida ya saa tisa alasiri zikasambaa video zikimuonyesha mh Nape akitembea kwa miguu kwenda Ikulu kuomba msamaha kwa hayati rais Magufuli.!
Hakika hiyo siku nilipigwa ganzi sana.

Hata Mimi sitasahau siku Nape aliposema Magufuli ni MSHAMBA!!
Sitasahau.
 
Ilikuwa siku tulivu sana na jana yake tulitumia kugonga moja baridi moja moto mpaka saa saba usiku na tukajiapiza hatutakaa tuombe msamaha kama walivyo fanya akina Makamba Jr na Ngeleja.

Cha kushangaza kesho yake mida ya saa tisa alasiri zikasambaa video zikimuonyesha mh Nape akitembea kwa miguu kwenda Ikulu kuomba msamaha kwa hayati rais Magufuli.!
Hakika hiyo siku nilipigwa ganzi sana.

Kwa hiyo ni mlevi mwenzako??
Hadi saa saba usiku mnalewa.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu aliwaita kule kwa maria space kwamba ni wapumbavu kwakuwa mnasahau jk ambae yuko hai aliwaua hadi kwa mabomu ila mmekazana na mtu aliekufa kana kwamba mateso mmeanza nayo kwa Magu na sasa yameisha.
Ufipa ni wapumbavu kwelikweli
 
Back
Top Bottom