Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, kuna maswali mengi yanayozungumziwa kuhusu jinsi Samia Suluhu Hassan alivyoteuliwa kuwa mgombea urais kupitia chama hicho. Moja ya masuala...
8 Reactions
53 Replies
3K Views
Baada ya CHADEMA kurudisha chama kwenye Mifumo badala ya MTU mmoja , ni ishara tosha kwamba kinaweza kuongoza nchi. Endapo kitaendelea kuimarisha Mifumo yake yote bila kumtegemea MTU mmoja ni...
3 Reactions
9 Replies
812 Views
Ndugu Zangu Watanzania, Nimemsikia Mbunge wa Arusha Mjini Mheshimiwa Mrisho Gambo akisema na kulalamika kuwa ni aibu Kwa Arusha kukosekana kwa Stendi kubwa na ya kisasa Mkoani Arusha. Lakini...
1 Reactions
5 Replies
832 Views
Wanabodi, Kuna vitu mimi huwa navisema humu just as hypothetical situation na watu humu wanavichukulia poa hivyo kunibeza, na wengine hata kunitukana!, ila siku vikija kutokea kweli ndipo wenye...
32 Reactions
394 Replies
35K Views
TAREHE 05-01-2011 Police wawapiga risasi watu zaidi ya 11 ktk maandamano ya CHADEMA. Waua watu 3. TAREHE_10-2011 Dk.Mwakyembe aenda India kutibiwa kutokana na Kupewa Sumu.PoliCCM walipotezea...
10 Reactions
230 Replies
30K Views
Wakuu, Wizara ya Afya imewatoa wasiwasi Watanzania juu ya uvumi uliokuwa ukiendelea kuhusu uhaba wa ARV kutokana na maamuzi yaliyochukuliwa na Rais Trump hivi karibuni ya kusitisha misaada kwa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu, Kilio ni kile kile kwa wapinzani, balaa sana, huku kuna watu wamepongeza TAMISEMI kwa kufanya zoezi vizuri!:BearLaugh: ==== Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) mkoa wa Arusha kimelia...
1 Reactions
3 Replies
542 Views
Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii The Civic United Front-CUF Chama Cha Wananchi. Katibu mkuu wa chama cha wananchi-CUF madam Husna Mohamed Abdallah Tarehe 11 February...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Ukweli ni kwamba ,hata uwe mwanaCCM kindakindaki kama una akili huwezi kufurahia mambo yanaendelea nchini. Sasa CCM mtaamua wenyewe, Kuendelea kukumbatia 'Majuha' na kuwapuuza watu aina ya...
2 Reactions
6 Replies
582 Views
1. Je, CHADEMA wanaweza kususia uchaguzi, NDIO, wanaweza kama chama lakini kwa sasa wametangaza hawatasusia uchaguzi, kwasababu waliwahi kuona madhara yake. Ukisusa wenzako wala 2. Je, CHADEMA...
0 Reactions
3 Replies
489 Views
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dk. Batilda Burian, amewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura pamoja na kuboresha taarifa zao. Zoezi...
1 Reactions
8 Replies
660 Views
Anachofanya Trump sasa hivi kuibua Ufisadi na kutumbua kilishafanywa na Shujaa Magufuli kwahiyo siyo Kitu kipya Trump anatumiwa Department Of Government Efficiency na Shujaa Magufuli yeye...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewasili jijini Addis Ababa, Ethiopia ambapo anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe? Je, tumlaumu Mbowe kwa maridhiano? Je, tumlaumu Lissu kwa kupinga Maridhiano? Je, tumlaumu Rais Samia kwa kutekeleza 4R zake? Comments ziwe...
0 Reactions
47 Replies
2K Views
Inadaiwa wagombea wote wa CHADEMA Jimbo la Serengeti mkoani Mara wameenguliwa. Tutarajie ya mwaka 2019? Kupata habari za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 -...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Uko Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, nimeona kupitia Global TV Online, zaidi ya Wagombea wetu wa CHADEMA rufaa zao zimegonga mwamba, hivyo wameenguliwa wasigombee nafasi yeyote uchaguzi wa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Hayo si Maneno yangu, bali ni Maneno ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche alipokuwa anawahutubia mamia ya Wananchi, akigusia hali ya Uchumi ilipofikishwa na serikali ya ccm Naunga mkono...
16 Reactions
37 Replies
1K Views
https://youtu.be/P-e08q4WqDs?si=rhQ1idwPKk3IMKlw
1 Reactions
0 Replies
324 Views
Back
Top Bottom