Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 129,581
- 249,195
Hayo si Maneno yangu, bali ni Maneno ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche alipokuwa anawahutubia mamia ya Wananchi, akigusia hali ya Uchumi ilipofikishwa na serikali ya ccm
Naunga mkono kauli hii hasa nikiangalia Maisha halisi ya Wananchi wa Tanzania, Wakiwemo Wakulima, Wafanyabiashara na Wafanyakazi ambao hawakuwahi kuongezwa Mshahara kwa miaka 8 sasa.
Naunga mkono kauli hii hasa nikiangalia Maisha halisi ya Wananchi wa Tanzania, Wakiwemo Wakulima, Wafanyabiashara na Wafanyakazi ambao hawakuwahi kuongezwa Mshahara kwa miaka 8 sasa.