Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais JPM kama kawaida Makamu Kassim Majaliwa Waziri Mkuu Suleman Jaffo Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mama Samia Suluhu Hassan Waziri Kiongozi Dkt. Hussein Mwinyi Nawasilisha.
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Leo Tarehe 11 Oktoba 2018 kumefanyika mkutano wa wanawake wajasiliamali takribani 100 Kata ya Mzimuni Dar es salaam, na kuhudhuriwa na Bi Aziza Mohamed Ashrafi Mwenyekiti wa UWT, Sunnah Kambi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mh Ole Sendeka nakuomba sana mwaka 2020 jimbo la Simanjiro ni lako .Wewe ni mwanaccm damu huyo aliyekuwa mbunge nasikia kapanda bei eti anaomba kurudi CCM , tunachosema mwaka 2020 jimbo ni lako...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Nianze kwa kutoa pole kwa viongozi wa upinzani na wanachama, kiukweli inaumiza sana, nchi haina demokrasia tena, hakuna tume huru hakuna ahueni kwa wagombea wa upinzani, mpaka sasa kwenye...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Anaitwa Richard Ado Makupe mtoto wa marehemu Luteni wa jeshi miaka ya 1975-1978 ktk kikosi cha Lugalo Dar es salaam na baadae Kuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa Mwanza enzi za vita Hashim Ado Makupe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Toka mwanzo nilipinga CHADEMA kurudi kwenye hizi chaguzi maana kila siku CCM inakuja na mbinu mpya za kuhujumu chaguzi ila nachoshangaa kwanini toka 2015 wapinzani hawapambani kupata katiba mpya...
6 Reactions
62 Replies
6K Views
Matokeao ya kata 43 ya udiwani yamewachanga wengi na kuwapoteza kabisa wengine na hata kutoamini macho yao baada ya matokeo kutoka na CCM kuchukua kata 42 na Chadema kata 1 Kwa matokeo hayo je...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Haijawahi tokea, kwanini walio gombea ubunge au udiwani wakibaini msimamizi wa tume au tume ya uchaguzi imetangaza matokeo tofauti na waliyopewa kwenye chumba cha kuhesabia kura wasiwashtaki hawa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini chini ya uongozi wa Rais Magufuli, kuna baadhi ya Watu hasa wanasiasa wa upinzani wanadhani serikali hii haifai na Rais aliyepo hamudu hiyo nafasi . . Swali ni...
2 Reactions
65 Replies
6K Views
Tumechoka kudhalilishwa,vijembe na dhihaka,LISSU anatufaa Tanzania na ndio mkombozi wa kweli,zanziba FATUMA KARUME AU MAALIM SEIF chagueni. Hii ni taarifa rasmi na endelevu.Kama ccm wanataka...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Utakuwa ni mpambano wa watu wawili tofauti kabisa.... Niishie hapo!
2 Reactions
80 Replies
11K Views
Wakuu, Kama ni kiki kapata sioni mbadala zaidi yake kwa vyama vya upinzani.Ili kuwa wazalendo CUF,Chadema,Act wamsimamishe Zitto kugombea uraisi 2020. Zitto ni mtaalamu wa siasa za akalipso...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Humphrey Polepole amefunguka na kusema Mbunge wa Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe mwaka 2020 atafute kazi nyingine ya kufanya kwa sababu...
11 Reactions
152 Replies
15K Views
Nimesikia kauli za hatari katika harakati za kampeni za urais zinazotumiwa na Mh Tundu Lisu kwenye mikutano ya CDM. Hoja za kikabila! Oh eti JM kabila lake ni Mzinza, Msubi na siyo Msukuma kwa...
11 Reactions
81 Replies
12K Views
Back
Top Bottom