Kama CCM imeshinda viti 42 kati ya 43 Udiwani,Uchaguzi mwaka 2020 kwa Uraisi itakuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama CCM imeshinda viti 42 kati ya 43 Udiwani,Uchaguzi mwaka 2020 kwa Uraisi itakuwaje?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by tramadol, Nov 29, 2017.

 1. tramadol

  tramadol JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2017
  Joined: Oct 10, 2015
  Messages: 5,072
  Likes Received: 3,942
  Trophy Points: 280
  Matokeao ya kata 43 ya udiwani yamewachanga wengi na kuwapoteza kabisa wengine na hata kutoamini macho yao baada ya matokeo kutoka na CCM kuchukua kata 42 na Chadema kata 1

  Kwa matokeo hayo je Uchaguzi wa mwaka 2020 katika nafasi ya Urais itakuwaje na hata Wabunge?

  Naona wengi wameshakata tamaa kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 hasa kushiriki tu maana kila mmoja anaona ushindi kwa CCM na wengi wanaona haina haja hata ya kushiriki.
   
 2. Mr wenu

  Mr wenu JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2017
  Joined: Apr 4, 2017
  Messages: 1,098
  Likes Received: 1,650
  Trophy Points: 280
  Chukua 42 gawia kwa 43 alafu zidisha kwa miamoja utajua asilimia za matokeo ya uraisi 2020.
   
 3. blackstarline

  blackstarline JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2017
  Joined: Sep 19, 2016
  Messages: 1,119
  Likes Received: 1,307
  Trophy Points: 280
  Pia jiulize kama niuchaguzi tu wa madiwani polisi wanatumia nguvu hivi itakuwaje 2020?
   
 4. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2017
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 17,544
  Likes Received: 5,096
  Trophy Points: 280
  Kwani Arusha CCM ilipopata kiti kimoja mwaka 2015, uchaguzi wa uraisi ulikuwaje?
   
 5. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2017
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 17,544
  Likes Received: 5,096
  Trophy Points: 280
  Uchaguzi haunaga LINEAR relationship hasa kama some factors like, POLICE, WAHUNI, WEZI WA KURA, are kept constant on their proper track
   
 6. Super Sub Steve

  Super Sub Steve JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2017
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 10,699
  Likes Received: 3,133
  Trophy Points: 280
  2020 vifaru vitakuwa barabarani
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2017
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 80,464
  Likes Received: 117,260
  Trophy Points: 280
  Kama alivyosema Chakubanga kwa sayansi ya marungu, mapanga, visu, mitutu ya bunduki kutoka kwa polisiccm utakuwa ni ushindi mwingine wa KISHINDO kwa kuchukua majimbo yote nchini na dikteta uchwara kuchaguliwa kwa 100%

  Zidumu fikra POTOFU za Mwenyekiti wa MACCM.

   
 8. karekwachuza

  karekwachuza JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2017
  Joined: Dec 23, 2013
  Messages: 937
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 60
  Kura zenyewe za wizi halafu unasema wameshinda.huu ni uhuni
   
 9. KENZY

  KENZY JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2017
  Joined: Dec 27, 2015
  Messages: 6,611
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Bado nitaendelea kusema kuwa ccm imejidhatiti mitaani hivyo lzm ihakikishe inachukua ushindi kadri inavyoweza!,upinzani usipozisoma njia za ccm hlf mkasema mnapambana ni kupoteza muda.
  kukaa kusema wananchi wachukue hatua wkt uhalisia unafahamika kuwa wananchi wameshika makali itakuwa ni uhaini,maana atakaeumia anafahamika! hakuta kuwa na haja ya vyama kama vyote vinamuumiza mwananchi!
   
 10. f

  finyango JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2017
  Joined: Aug 11, 2016
  Messages: 1,779
  Likes Received: 963
  Trophy Points: 280
  Ni vyema,lakini kwa namsikitikia JPM kwa kuendelea kuzungukwa na wapiga deal, usalama wa taifa wanafanya nini?kumekuwa na wimbi kubwa ka wanasiasa na viongozi waandamizi wanajificha chini ya kivuli cha ccm kupiga deal
   
 11. U

  UCD JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2017
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,435
  Likes Received: 2,309
  Trophy Points: 280
  97.67%
   
 12. tramadol

  tramadol JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2017
  Joined: Oct 10, 2015
  Messages: 5,072
  Likes Received: 3,942
  Trophy Points: 280
  Nalo ni jambo la kujiuliza hilo
   
 13. tramadol

  tramadol JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2017
  Joined: Oct 10, 2015
  Messages: 5,072
  Likes Received: 3,942
  Trophy Points: 280
  ok umeeleweka
   
 14. Mzolewa

  Mzolewa Member

  #14
  Dec 2, 2017
  Joined: Dec 15, 2016
  Messages: 14
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 5
  Uchaguz 2020 utakuwa migumu sana kwa CCM
   
 15. WilliK10

  WilliK10 JF-Expert Member

  #15
  Dec 3, 2017
  Joined: Jul 22, 2016
  Messages: 618
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 80
  Tatizo lako ni tafsiri ya neno ushindi. Tume yenu, polisi wenu, uchaguzi wenu, mshindi unategemea atoke wapi?
   
 16. WilliK10

  WilliK10 JF-Expert Member

  #16
  Dec 3, 2017
  Joined: Jul 22, 2016
  Messages: 618
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 80
  Siku mkiacha kutumia mabavu ya vyombo vya ulinzi, wote mtaangukia pua..
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Dec 3, 2017
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 80,464
  Likes Received: 117,260
  Trophy Points: 280
  Sema wamepora ushindi kwa kutumia mapanga, marungu, visu na mtutu wa bunduki. MACCM yanavyochukiwa nchini KAMWE hayawezi kushinda kwa more than 95%

   
 18. tramadol

  tramadol JF-Expert Member

  #18
  Dec 10, 2017
  Joined: Oct 10, 2015
  Messages: 5,072
  Likes Received: 3,942
  Trophy Points: 280
  Viti vya wabunge na madiwani 2020 vitapungua kwa upinzania kama wasipowekeza zaidi kwa propaganda,intelejensia na ICT kuhusu Political issues
   
 19. tramadol

  tramadol JF-Expert Member

  #19
  Dec 10, 2017
  Joined: Oct 10, 2015
  Messages: 5,072
  Likes Received: 3,942
  Trophy Points: 280
  Kamanda Mbowe anatakiwa kutafuta mbinu za juu zaidi kupambana na Kamanda Mwenzake Magufuli katika issue ya Siasa
   
 20. Enyimba

  Enyimba Member

  #20
  Dec 10, 2017
  Joined: Mar 10, 2016
  Messages: 19
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  Hakuna chenye mwanzo kikakosa mwisho
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...