Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Majuzi nimekaa kwenye bwalo la halmashauri ya Mbeya vijijini nikishuhudia machozi ya vijana wasomi wa kitanzania wakimwaga machozi baada ya kuonekana hawajapita kwenye interview ya inayosimamiwa...
28 Reactions
213 Replies
8K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais na Mkuu wa Nchi ndiye kiongozi namba moja katika Nchi kupewa Ulinzi Mzito na mkubwa kila mahali awapo. Ndio jicho lote la vyombo vya ulinzi na usalama huelekeza na...
6 Reactions
246 Replies
9K Views
Kidumuuu chama!!! Nichukue fursa hii kuwapongeza makada wote ndani ya chama Cha kijani waliofanya usajili mahiri wa kuhakikisha wanamsajili ndugu Msigwa na kusaidia kumpa nguvu na umaarufu ndugu...
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Wakuu Hii ni aibu kubwa kwa vijana wa taifa hili. Mpaka rais anafurahia uchawa na kuona ni kitu cha kawaida tu! === Huu uchawa sasa umepitiliza, tazama mchekeshaji maarufu mzee Shayo akipiga...
6 Reactions
73 Replies
4K Views
Huyu Asenga asituchezee akili na kutufanya sisi watoto wadogo Abubakar Asenga, Mbunge wa Jimbo la Kilombero katika Mahojiano na Wasafi TV amesema; "Mimi kama mtoto wa fundi Cherehani nimevaa...
1 Reactions
8 Replies
553 Views
Wakuu, Kwa hiyo Deus Sangu kachoma mafuta gari ye Serikali aje "kuzindua" kidaraja kama hiki? Hili daraja si hata fundi Juma anatengeneza? Tumefikaje kama taifa sehemu kama hii where...
48 Reactions
114 Replies
6K Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Watanzania hawatakiwi kuwa wanyonge bali watembee vifua mbele kwa sababu nchi yao ni tajiri sana. Shigongo amesema anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
19 Replies
899 Views
Adai yeye ni muhudhuriaji mzuri wa baraza la madiwani hata kama kutakuwa na vikao vya bunge yeye lazima ataenda kwenye vikao vya madiwani na wale wabunge wanaolalamika huwa hawaendi kwenye vikao...
0 Reactions
5 Replies
599 Views
Wakuu, Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, akihojiwa kwenye kipindi cha Joto la Asubuhi kinachoruka hewani kupitia E-FM amenukuliwa akisema: “Uchaguzi hauwezi kukosekana kwa sababu ya kauli...
9 Reactions
73 Replies
4K Views
Rais Samia akifungua Mkutano wa 3 wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Afrika Februari 22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/g5djiMf20HY?si=9JV2vTK9WBrKcyKu Wageni kutoka...
0 Reactions
8 Replies
889 Views
Waziri Kombo ateta na wanafunzi wa Diplomasia Hungary Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Chuo cha Diplomasia cha...
0 Reactions
5 Replies
452 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara John Wegesa Heche John Heche amesema chama hicho kimejiandaa kushiriki uchaguzi mwaka huu hivyo kikisema 'no reform no election'...
2 Reactions
3 Replies
598 Views
Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha Taifa cha Kutunza taarifa chenye thamani ya...
0 Reactions
9 Replies
735 Views
Wakuu Hivi wananchi wanarogwa na nani? kwanini haya mambo hufanyika kipindi cha wagombea wakiwa wanataka kurudi tena Bungeni na hatustukii hili kama ni kulaghaiwa tu! == Washiriki wa shindano...
0 Reactions
5 Replies
518 Views
Wananchi wa Jiji la Tanga wamejitokeza kwa wingi kushiriki matembezi ya pamoja yaliyoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Japhari Kubecha, Katibu Tawala wa Tanga, Dalmia Mikaya na Mbunge wa Tanga...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
Mimi nilipokuwa mdogo ilipotokea pasipokusudi nimemuumiza mwenzangu nilikiwa naumia sana namwomba radhi na ilipotakiwa msaada za zaidi wa huduma ya jeraha lake nilimpeleka kwao kwa huruma...
0 Reactions
2 Replies
251 Views
Kutakua na mkutano mkubwa wa kahawa barani Afrika utakaofanyika tarehe 21–22 Februari 2025 katika Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huu...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na...
6 Reactions
87 Replies
2K Views
Swali la John Marwa: Wabunge mmefanya kwa nafasi gani kuiwajibisha serikali ikiwa mpo wa chama kimoja bila upinzani Eric Shigongo: "Mimi nimeenda bungeni nikijua kazi zangu ni tatu ya kwanza...
0 Reactions
1 Replies
303 Views
Rais Samia afunguka ya Moyoni kuhusu kauli za Wahafidhina wa mfumo dume ambao hawakuwa na imani naye wakati anachukua nafasi ya Urais na waliothubutu kusema "Tuna Rais wakuambiwa afanye na mwenye...
5 Reactions
83 Replies
5K Views
Back
Top Bottom