Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu ni muda wa kuyafanyia marekebisho baadhi ya masuala ya uongozi. Hawa viti maalumu ambao wengi wao ni ndugu wa viongozi wakubwa hawana mchango wowote kwenye mchakato wa kibunge. Wao...
3 Reactions
6 Replies
447 Views
Anastahili, maana awamu yake ni full comedy
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Siku chache baada ya kufutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana sababu ya kupinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa CCM, Mchungaji Dkt.Godfrey Malisa amedai...
17 Reactions
158 Replies
7K Views
Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote? hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na...
17 Reactions
80 Replies
4K Views
Katika hali ya utani, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wazo lililotolewa na wachekeshaji la kucheza mchezo wa ‘upatu’ linaweza kuwa zuri endapo likibadilishwa na kutafutiwa namna bora...
0 Reactions
1 Replies
341 Views
Nadhani Hali ya Uchumi kwa Vijana imekuwa ngumu sana Napendekeza Shirika la Bahati Nasibu la Taifa lifufuliwe lilikuwaga Morogoro road jirani na makao Makuu ya UVCCM Pili atafutwe mrithi wa...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
Wakuu, wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 mengi yanasemwa na yataendelea kusemwa, na kati ya hayo ni kauli tata na za kushangaza kutoka kwa...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi...
47 Reactions
185 Replies
8K Views
Ndugu Othman Masoud Othman Assalam aleikum. Nakuandikia haya nikitambua kuwa wewe na chama chako mpo katika juncture muhimu ya kihistoria ya kuipatia nchi hii katiba mpya na reforms za msingi...
8 Reactions
14 Replies
875 Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Ally Hapi, amesema kuwa kero nyingi zinazowakabili wananchi zinatokana na baadhi ya watendaji waliopo kwenye nafasi mbalimbali...
2 Reactions
13 Replies
830 Views
Akizungumza baada ya Kutembelea Shamba la Kampuni ya Aviv Tanzania Limited,Rais Samia ameonesha kufurahishwa na mafanikio ya sekta ya Kilimo hususani zao la Kahawa. Rais amesema kwamba uwekezaji...
2 Reactions
102 Replies
3K Views
Karibu Tanga Bi Mkubwa, hapa ndio nyumbani nyumbani kwa wadigo na wabondei, hapa ndio nyumbani kwa wasambaa na wazigua. Karibu Tanga kwasababu ina watu wasiojua vurugu, ina watu wasiopenda shari...
4 Reactions
80 Replies
3K Views
Baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ndug John Heche kueleza jana kuwa CHADEMA wanaenda kuweka ushahidi na kuuelezea Umma namna taifa hili linavyoibiwa kupitia miradi mbalimbali ikiwemo tenda za...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Bara John Heche amesema chama hicho kina kila hoja za kushindana na chama cha mapinduzi na watazitumia pindi wakianza kufanya ziara na...
13 Reactions
55 Replies
3K Views
Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake amechukuliwa kwa nguvu na Watu wasiojulikana ambao walikuwa wamebeba silaha na ripoti zinadai tukio hilo limetokea February 20,2025 saa saba mchana katika...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
"Ninayo kila sababu ya kuishukuru serikali kwa namna inavyowatumikia wananchi wake. Ndani ya miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jimbo la Buchosa peke yake mimi kama mbunge...
0 Reactions
3 Replies
382 Views
Wakuu Mnakumbuka sakata la CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee? Mapya yaibuka huko, panga limepita kwenye Chama == Katika Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani, kumekuwa na sintofahamu...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mkuu wa giningi amefanikiwa katika adhima yake kuu, ya kuelekea malengo makuu. Alikuwa na njaa kwa mda mrefu na hakujua kuwa ipo siku atakuja kula chakula kile kizuri ambacho kila mtu...
0 Reactions
2 Replies
398 Views
"Kama Mbwai na Iwe Mbwai." Ndiyo kauli anayoitumia Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) taifa, Shaban Itutu akielezea msimamo wa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Uongo umeshakuwa kitu cha kawaida katika nchi yetu, Serikali yetu haikuwahi kuaminika na itaendelea kutoaminika. Rais si mkweli, mbabe, ukandamizaji wa haki za raia, matumizi mabaya ya madaraka...
59 Reactions
73 Replies
10K Views
Back
Top Bottom