Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe.George Simbachawene ametoa wito kwa Watanzania wenye sifa za kujiandikisha...
0 Reactions
4 Replies
546 Views
Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani. Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya...
2 Reactions
6 Replies
478 Views
Wakuu, Kumekuchaa kumekuchaaa, kumbe watu watoto Tanzania nzima wanalipiwa ada na Rais Samia na hamsemi:BearLaugh::BearLaugh: ==== Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu...
2 Reactions
3 Replies
417 Views
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Japhar Kubecha akiwa ameambatana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Tanga Dalmia Mikaya kwa kushirikiana na Taasisi ya Watoto Foundation wamekabidhi madaftari zaidi ya 1000...
3 Reactions
122 Replies
5K Views
Congo DRC wamekuwa kubwa jinga kwa muda mrefu. Nchi haina umoja Nchi ni tajiri sana Nchi haina jeshi hata la watu laki moja Na majenerali wa Congo ni wa kukata viuno tu, hawawezi hata kujitetea...
23 Reactions
139 Replies
5K Views
Wakati wa msiba wa Shujaa Magufuli baadhi ya Wapagani walishangazwa kitendo cha heshima za Mwisho Kwa jeneza kupitishwa barabara kuu Kumbe hata Waarabu utaratibu wao ndio huo huo Al Jazeera...
0 Reactions
4 Replies
346 Views
Wanasema hatuna ahadi ya utii kwa tajiri Trump wala Elon Musk, bali Serikali ya America.
2 Reactions
7 Replies
594 Views
Kwenye mahafali ya Chuo kimoja hapo Kenya Mbunge amesema mahakama kuu inafunga AI 400 hivyo watuhumiwa hawatahitajika tena kwenda na Wanasheria Binafsi sijaielewa kabisa hii Rais wa TLS mh BAK...
4 Reactions
12 Replies
468 Views
"Sisi tumekwenda kwenye uchaguzi tumewaonesha maana ya uchaguzi wa kidemokrasia, free, fair, transparent election ambayo haijawahi kutokea Afrika hawawezi hata na dola yao kuthubutu kufanya vile...
8 Reactions
12 Replies
683 Views
Wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wa kutoka dini mbalimbali, mapema hii leo wamefanya Dua ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuliombea Taifa. Akitoa salamu za Mkoa wa Tanga...
2 Reactions
10 Replies
894 Views
Wakati awamu ya pili ya uandikishaji wa daftari la kudumu la wapigakura ikianza mikoa ya Unguja, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewataka wananchi wenye sifa kujiandikisha ili wapate uhalali wa...
2 Reactions
4 Replies
415 Views
Wakuu, Harakati za ku-please wananchi katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye kampeni zinaendelea. Mbunge ambaye alikuwa ana miaka 5 ya kuwaletea maji wananchi leo hii anasimama mbele ya Rais...
2 Reactions
3 Replies
456 Views
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu...
30 Reactions
365 Replies
11K Views
Wakuu, Huko mkoani Morogoro, wafanyakazi wa Tume Huru ya Uchaguzi wameanza kuingia mtaani na kuandaa events ndogo ndogo kwa ajili ya kutoa elimu ya mpiga kura na kuhamasisha wananchi...
1 Reactions
11 Replies
802 Views
Wafanyakazi wa serikali ya Marekani walipokea barua pepe Jumamosi alasiri ikiwauliza waorodheshe mafanikio yao kutoka ya wiki iliyopita au wajiuzulu, ikiwa ni katika juhudi za serikali ya Trump...
2 Reactions
6 Replies
566 Views
Wakuu, CCM muwe mnachagua watu wa kusemea mambo yenu. Watu wa imani wakisema huu ni uchuro kwa Rais, mtakataa. Yaani mnasifia hadi mnaboa. ================================== Mbunge wa Jimbo la...
1 Reactions
7 Replies
548 Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana CHADEMA Dua Lyamzito amesema uwepo wa Chama cha Mapinduzi madarakani unaendelea kuwafanya wantanzania kuwa maskini hali yakuwa wao(CCM) wanakua na maisha mazuri...
1 Reactions
3 Replies
383 Views
Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani. Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa 1. Lema 2. Lissu 3. Heche Sikutegemea ktk siasa za ndani ya...
4 Reactions
59 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametuma salamu za pongezi kwa Kiongozi wa Japan, Mfalme Naruhito, katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 65. "Kwa niaba ya...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Back
Top Bottom