Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naona CCM mnakimbizia ajenda kwenye vyombo vya dola , hebu acheni hofu , mnakidhalilisha chama , kwamba chama hakina watu wa kujibu hoja ila ni kwa mitutu ya bunduki? Kwa ukubwa wa chama chenu...
4 Reactions
11 Replies
698 Views
Na hilo ndilo litakalothibitisha kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan habahatishi na yeye pekee ndie champion of everything in Tanzania, Ni champion wa wa amani na maridhiano, ni champion wa utalii, ni...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Inawezekana kuna watu bado hawajaelewa vizuri maana ya No Reforms No election. Maana yake ni kwamba:- 1. Hakuna atakayeruhusiwa kugombea nafasi yoyote ile ya uongozi kama Katiba na Sheria bora za...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Sijaona maono yoyote ya maana kutoka kwa Mwenyekiti mpya wa chadema ambayo yanaweza kubadili nchi zaidi ya kuwazia madaraka ya kiserikali tu. Sijasikia mipango madhubuti kwenye sekta mbalimbali...
0 Reactions
18 Replies
718 Views
Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Taifa Sigrada Mligo akiwa kwenye mkutano wa hadhara eneo la soko kuu Makete mjini ameonya wanaowanyanyasa wanachama wa CHADEMA wilayani...
0 Reactions
1 Replies
432 Views
Mzee wasira ni lazima aelewe kwenye No election no reform hakuna mdahalo bali utekelezaji. Chaguzi za 2019, 2020 na 2024 zime maliza mdahalo na maswali yeyote ya kwamba chaguzi kwa sasa zinaweza...
3 Reactions
3 Replies
543 Views
https://youtu.be/5Y7PcWedUNE?si=nXAlvjXG1G6V-4Mu KWANINI NO REFORMS, NO ELECTION? Ni kwa sababu: 1. Kwa utaratibu wa kisheria, kikanuni, kikatiba na wa kiserikali, uchaguzi salama usioambatana...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
https://youtu.be/ANA3rytxn0Q?si=6caBpBCIieREJQl7 ➡Ukimtazama na kumsikiliza vizuri Ansbert Ngurumo ktk video hii unaweza kudhani ni mtu neutral, anayejaribu kushauri pande mbili ili kurekebisha...
6 Reactions
15 Replies
998 Views
Nauliza tu Hawa nguli Wawili wa JF Lucas Mwashambwa na Yericko Nyerere hawajapata Tuzo Leo? Ni hilo tu 🐼
6 Reactions
48 Replies
1K Views
Nyimbo nyingi za CCM zinasisimua sana, zinaondoa uchovu na msongo wa mawazo ukiziskiliza vizuri, na kwakweli ukiziskiliza kwa makini unapata pumzi yenye matumaini na mwangaza mpya kabisa wa...
6 Reactions
145 Replies
3K Views
Wakuu, Makubwa haya! Wameenda kumnong'oneza sikioni au? ==== Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa qa Songwe Bi Fatuma Mnahwate amesema ameongea na Wenyeviti wa Vijana wa Vyama vyote Vya Upinzani nchini...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati DKt Doto Biteko ametoa zawadi hiyo mkoani Kilimanjaro wakati aliposhiriki mbio za Kili Marathon za kilomita 5.
2 Reactions
5 Replies
450 Views
Kiukweli yatupasa tukeshe tukiomba kwa sababu hatujui siku wala saa ya kutwaliwa RIP Le mutuz!
9 Reactions
51 Replies
6K Views
Hapo zamani wakazi wa halmashauri ya wilaya ya Handeni na vijiji vyake walilazimika kwenda Tanga mjini hospitali ya Bombo au kwenda Muhimbili Daresalaam kwaajili ya huduma za kibingwa, lakini kwa...
0 Reactions
0 Replies
365 Views
Wakati wa Mbowe vijana wengi walivuma, hoja zao kuipinga CCM katika mitandao ya kijamii ikiwavutia wengi sana hata wanaCCM wenyewe. Wakisimama juu ya majukwaa vijana wengi wakivutiwa. Hivi sasa...
0 Reactions
9 Replies
510 Views
Utangulizi Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kumekuwapo na maswali mengi kuhusu kutoonekana kwa Patrick Boisafi, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro. Ni muda mrefu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
No reforms, no elections’ yawaweka Chadema njiapanda. Kampeni inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya ‘No reforms, no elections’ ikimaanisha “Bila mabadiliko, hakuna...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Ndiyo, ibada ya sanamu imekatazwa katika Biblia. Hii ni kwa sababu Mungu anataka kuwaabudiwe peke yake, bila ya kuwepo kwa kitu chochote kingine kinachochukuliwa kama kitu cha kuabudiwa. Kwa...
1 Reactions
12 Replies
705 Views
Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote. Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi...
12 Reactions
89 Replies
3K Views
Back
Top Bottom