Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
1 Reactions
94 Replies
3K Views
Ester Bulaya amesema kuwa yeye alifuata taratibu zote za kuwa mbunge wa viti maalum ndani ya chama chake. Pia ameeleza hakughushi nyaraka na kama amefanya hivyo basi alipaswa kushtakiwa mahakamani...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Hapo mwanzoni utendaji ulikuwa mgumu kutokana na kutumia majengo yenye ufinyu wa ofisi na kuchelewesha huduma kwa wananchi. Hali imebadilika baada ya Rais Samia kuwajengea jengo jipya la...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Ester Bulaya wakati akiulizwa maswali kwenye kipindi cha Power breakfast ameeleza kuwa hajaona mahali ambapo chama chake (CHADEMA) kikimkataa na pia alipoulizwa kuhusu CCM ameeleza kuwa CCM...
1 Reactions
2 Replies
689 Views
Wanabodi, Leo tena nimepata fursa kuwaletea zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" na issue iliyo mezani ni Sakata la wabunge 19 wa Chadema, Chadema imewatimua ikijua it's done with them...
39 Reactions
186 Replies
15K Views
Katibu wa chama cha Chadema mkoa wa Njombe Baraka kivambe, amesema hawako tayari kushiriki uchaguzi ikiwa hakuna mabadiliko kwa baadhi ya mambo ambayo wamekuwa wakiyalalamikia kwa muda mrefu...
1 Reactions
3 Replies
387 Views
Wanabodi Kupitia kipindi changu kipya cha KMT, kinachorushwa hewani na kituo cha Television cha Channel Ten, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio siku za Jumatano Saa 9:30 alasiri...
17 Reactions
46 Replies
4K Views
Raisi Samia ni mwanasiasa lakini anapenda umashuhuri kama Trump. Mapungufu yanakuja pale ambapo Uchawa unazidi Uzalendo. Angetakiwa kupenda vilevile haki, kupenda kupigana na rushwa kama...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Ni vema Wananchi wakafahamishwa na Addo Shaibu wa ACT wazalendo bajeti ya Kikosi Kazi Cha Prof Mkandara ilikuwa shilingi ngapi na maazimio yalikuwa ni nini Na J J Mnyika atueleze kilichojiri...
1 Reactions
3 Replies
276 Views
Ndugu zangu Watanzania, Siweki neno wala kuongeza neno bali nawawekea barua ya Mwana CHADEMA kama ilivyo.👎 BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA EX MAYOR WA UBUNGO NA MWENYEKITI WA CHADEMA KANDA YA...
3 Reactions
52 Replies
3K Views
Kwa Mwezi Februari 2025, vyombo vya habari vilivyo vingi binafsi naona vimeendeleza kukibeba chama tawala huku vikigandamiza vyama vingine katika usawa wa kuripoti matukio ya kisiasa. Kuna baadhi...
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Wakuu, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Mkoa wa Geita, Evarist Gerves, amekemea vikali tabia ya baadhi ya vijana wa chama hicho kuwatusi viongozi na watu wanaotangaza nia ya kugombea...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
Uteuzi wa mgombea mwenza taratibu zake kwa mujibu wa CCM zinajulikana. Hayati Magufuli baada ya kupitishwa rasmi, Mgombea urais kupitia CCM, alipewa majina kadhaa ( idadi sijui) ili achague...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Ile Siku muhimu ya fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran ndio Leo Tukio liko mubashara TBC, ZBC na Clouds tv Mgeni rasmi ni Mpendwa wetu mh Rais Samia Karibuni sana...
0 Reactions
83 Replies
2K Views
"Kwahiyo CHADEMA inapopambania reform za uchaguzi siyo tu kwa CHADEMA kushinda, reform za uchaguzi zitamuingiza yeyote yule aliyechaguliwa kwa kura za wananchi". Esther Bulaya, Mbunge wa viti...
2 Reactions
2 Replies
539 Views
"Hakuna chama ambacho nafasi ya mwenyekiti ina ukomo, tofauti yetu sisi na CCM, wao wamejiwekea kwa sababu Mwenyekiti wao ndiye mgombea. Wao wameunganisha nafasi ya chama kwenye nafasi ya nchi"...
3 Reactions
7 Replies
801 Views
"Mimi bado ninaongea lugha ileile ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na bado ninaongea lugha ya demokrasia, sasa suala la uanachama au kutokuwa mwanachama ni la maamuzi ya vikao, sasa...
2 Reactions
5 Replies
699 Views
Fatuma Iddi (mama wa watoto wanne) mkazi wa Magugu Mapea, Babati amerejeshewa tabasamu na Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi CCM Ally Hapi baada ya kupewa mtaji wa kufanya biashara. Fatuma alivunjiwa...
2 Reactions
1 Replies
537 Views
. https://m.youtube.com/watch?v=4upFAaJHGvg Niliona gari yenye vioo vyeusi aina ya Alphard ikinifuatilia ... Rajab Hassan almaarufu Marco Charlie nikiwa Tumbi Kibaha nikaona watu wanataka...
5 Reactions
86 Replies
5K Views
Mbunge wa Jimbo la Momba Mhe. Condester Sichalwe amewataka wananchi kutokushawishika na watu wanaotoa rushwa ikiwemo kuwanunulia pombe ili wakawapigie kura, bali wanapaswa kupima maendeleo...
0 Reactions
1 Replies
324 Views
Back
Top Bottom