Kifo ni fumbo Le mutuz juzi katoa RIP kwa Membe kupitia instagram yake Leo amefariki yeye!

Hapo kwenye kifo Mungu alitia ufundi Kweli Kweli

Yaani mwamba anajua hutapitisha muda fulani kabla hajakuchukua afu anauchuna tu

kabisa mkuu muumba mbingu ni fundi
anajua kufinyanga na kubomoa tena msimpangie cha kufanya sio bure hata wewe tunaongea kumbe asubuhi kesho tukakupeleka futi sita chini ......
 
Kiukweli yatupasa tukeshe tukiomba kwa sababu hatujui siku wala saa ya kutwaliwa

RIP Le mutuz!
Jana tu jioni yeye na akina Kinjekitile Ngombale Mwiru walikuwa msibani kwa Membe
 

Attachments

  • IMG-20230514-WA0047.jpg
    IMG-20230514-WA0047.jpg
    77.9 KB · Views: 3
  • IMG-20230514-WA0023.jpg
    IMG-20230514-WA0023.jpg
    47.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom