Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Zainab Katimba, amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kuendelea kubuni miradi ya maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Tangu Dr. NDUGULILE afariki ni miezi sasa, kigamboni haina mbunge wala hakuna uchaguzi mdogo, tatizo nini? Soma Pia: Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia Tume...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Katika furaha yake ya Ushindi wa Upinzani huko Ujerumani Trump anesema ni Wakati Sasa Mikataba ya uwekezaji ikawa Wazi Kwa Wananchi kama yeye anavyotaka Wananchi wa Ukraine wawe wanaelewa kila...
1 Reactions
3 Replies
282 Views
Nini kimepelekea upinzani kutoaminika kabisa nchini, kukosa hamasa na kuonekana kana kwamba ni watu wa mipango ya kuomba omba kuchangiwa pesa za matumizi yao binafsi tu na sio kutumikia wananchi...
3 Reactions
43 Replies
1K Views
Sabato Njema! Ukifuatilia kwa umakini utagundua machawa wengi na Waasisi wa uchawa ni kizazi cha Miaka 70's na 80's. Sijajua nini kilitokea Miaka hiyo kuanzia ulaji wa chakula, mitindo ya...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Afrika ya mashariki inaundwa na nchi zifuatazo:; Kenya Tanzania Uganda Burundi Sudan Kusini Somalia Kati ya nchi hizi za Afrika ya mashariki ipi unadhani inaongozwa kwa kufuata Sheria na Katiba...
1 Reactions
7 Replies
542 Views
👉Mbunge/Diwani amekaa madarakani miaka 15 mpaka 30 lakini suala la maji ni changamoto....Piga Chini Weka Mwingine 👉 Mbunge/Diwani amekaa miaka 15 mpaka 30 lakini Barabara za kutegemewa...
3 Reactions
26 Replies
875 Views
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mjini, Mhandisi James Jumbe Wiswa, amechangia mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika Kituo...
0 Reactions
5 Replies
556 Views
Ni Video ikimuonyesha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita Manjale Magambo akikabidhiwa Fimbo ya ushindi pamoja na Kuku aina ya Jogoo na wazee maarufu Baada ya...
0 Reactions
0 Replies
327 Views
ADO SHAIBU: RAIS SAMIA AJITATHIMINI Maazimio ya Halmashauri Kuu Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha kawaida jana tarehe 23 Februari 2025 katika Ukumbi wa...
0 Reactions
5 Replies
644 Views
Mbunge wa Jimbo la Geita Dkt. Joseph Kasheku Musukuma, amesema kuwa milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Kupata matukio na...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mnyonge Mnyongeni lakini Haki yake Mpeni. Ni kweli Mimi Mwashambwa Lucas ni Mwana CCM kindakindaki ,tena mwana chama lialia wa CCM.ambaye kila mtu anafahamu hilo popote...
-1 Reactions
58 Replies
2K Views
Na Mwandishi wetu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa Umwagiliaji Mkomazi unaofekelezwa na Tume ya Taifa ya Umwagilia (NIRC) mkoani Tanga. Amesema, mradi...
0 Reactions
5 Replies
538 Views
Nashukuru sana wanasiasa mahiri walio saidia kurahisisha ujumbe na inazidi kuwa ngumu kwa matapeli kudanfanya tena. Tuna chaguo mbili tu! Hakuna chaguo la tatu 1. Kama una amini chaguzi za...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Ukiangalia kwa undani, CCM na serikali yake kila kitu kinachohusu wananchi wanataka watumie dola na ubabe kifanyike, wananchi wanajua kabisa CCM kupitia serikali wanaiba kura, na kwasababu ccm...
0 Reactions
3 Replies
527 Views
KAZI INAENDELEA! VIJIJI 28, WANANCHI 20,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA UMWAGILIAJI MKOMAZI, KOROGWE TANGA Mradi wa Mkomazi ni wa kihistoria, kwani ulianzishwa zaidi ya miaka 50 iliyopita lakini...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Wakuu, Rais Samia amewahasa wananchi wa Korogwe na Tanga kwa ujumla kwenda kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura, mchakato ambao unasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ukiwa...
0 Reactions
3 Replies
415 Views
Mbunge wa Rombo Mkoani Kilimanjaro ambae pia ni Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameendelea na ziara yake yakufanya Mikutano ya hadhara ili kusikiliza kero za wananchi...
0 Reactions
1 Replies
312 Views
Wanabodi, Kwanza sio kila kitu ni siasa, vitu vingine ni hoja za kikatiba, Sheria, taratibu na kanuni. Ukileta hoja specific, hakuna ubaya kujifagilia ubobezi wako katika eneo husika. Mimi...
48 Reactions
239 Replies
16K Views
Wakuu, Nadhani kupitia video ya wananchi wa Salasala, Lissu na CHADEMA kwa ujumla mnaweza kujifunza kitu. Hapa kama mnavyoona, kuna mixer ya wamama na vijana wameandamana wenyewe bila ya...
3 Reactions
2 Replies
439 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…