Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mlevi na Redio 1 Mlevi kajilaza, chupa mkononi, Redio inavuma, kwa sauti laini, Sifa kwa rangi, zinasikika mbali, Lakini mitaani, shida ni ile ile. 2 Barabara mashimo, taa hazing’ai, Bei ya...
2 Reactions
5 Replies
375 Views
Watanzania wana ongea ongea sana maneno mengi, lawama nyingi kwa serikali iliyopo madarakani(CCM) Ni jambo zuri kwa sababu ni haki yao na mdomo ni mali yao. Lakini Watanzania wengi kujifanya kwao...
0 Reactions
31 Replies
1K Views
Kawahi kuwa DC Kawahi kuwa RC Kawahi kuwa Mwenezi Taifa Kawahi kuwa RC. Hii profile ni kubwa sana na kila ashikapo nafasi yoyote hutolewa watu wakiwa na kiu nae. Huwa hawataki aondolewe. Soma...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Vita ya makonda na Gambo inaendelea kupaba moto huko Arusha, Makonda adai dalili mojawapo ya umasikini ni fitina na majungu. Yanini kupanda fitina, fitina, fitina huu ushirikina mtaacha lini...
0 Reactions
5 Replies
679 Views
Baada ya kushindwa uchaguzi Freeman Mbowe hajaongea lolote. Akina Lissu na timu yake walitumia nguvu nyingi kumbomoa ili washinde uchaguzi kwa hila. Kumbe walikuwa hawana mkakati wa kukiongoza...
7 Reactions
77 Replies
4K Views
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo (MNEC) ambaye pia Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi tarehe 25 Februari, 2025 amekutana na viongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
Hii ni sheria ya 2022 , lakini ni vyema kujifunza yafuatayo tunavyoelekea kwenye kesi ya Tundu Lissu vs Tigo kama mkusanyaji na mchakataji wa taarifa za Tundu lissu. 1. Kuna Tume ya ulinzi wa...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Baada ya wiki 4 za kushuka kwa dollar kwa kasi ya ajabu ambapo dollar ilifika 2290 hatimaye leo dollar imefikia 2515 ikitarajiwa kupanda zaidi siku za usoni . Hii ina maana gani mdau? Kwa mtu...
4 Reactions
106 Replies
6K Views
Kunazidi kuchangamka sasa, ni kama ujumbe umetumwa kwa machalii wa Arusha, Gambo na Makonda === Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa kisiasa na...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
HONGERA MBUNGE MSOMI PRISCUS TARIMO BINGWAA Baada ya mkwamo wa miaka mingi, hatimaye sasa serikali imefikia makubaliano na kampuni ya ujenzi ya CRJE @crje_zanzibar kurejea site na kukamilisha...
0 Reactions
8 Replies
546 Views
Huko Tanga ni mashindano tu yakutoa zawadi kwa Rais Samia == Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA, pamoja na wananchi wa Muheza, wamemzawadia Rais Samia Suluhu Hassan Ng’ombe...
1 Reactions
9 Replies
820 Views
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa ameeleza kuwa licha ya kuwa Serikali ya Zanzibar ilitoa kila kitu kwa muwekezaji na muwekezaji hakuja na chochote kile lakini serikali...
2 Reactions
7 Replies
792 Views
Inasemwa kuwa siku ya Jana na Leo huko kwenye mitaa ya Lumumba mjini Dar es salaam na Kuu huko mjini Dodoma, vicheko Kwa Wana CCM vimetawala. CCM wanawacheka wajamaa wenzao chama cha Apruebo...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Makonda alitumia Madaraka yake vibaya sana ya ukuu wa mkoa, Anapaswa kufunguliwa mashtaka ya uhujumu Uchumi na utakatishaji fedha Ni vyema ikafanyika tathmini ya Mali zake Kimehasabu na kodi...
29 Reactions
179 Replies
17K Views
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian amesema walianzisha kauli mbiu ya "Mtoto wa leo, Mama Samia wa Kesho" ili kuongeza ufaulu na katika Wilaya ya Handeni
0 Reactions
0 Replies
329 Views
Wakuu, Sasa tunashuhudia mwamko mkubwa hasa upande wa vijana kwenye masuala ya siasa na uchaguzi, japokuwa uchawa umetaradadi kwa kiasi kikubwa, kuna mwanga umeanza kuonekana na kuashiria huenda...
0 Reactions
3 Replies
476 Views
Taarifa yake hii hapa Jambo la kufurahisha, kwenye Uchaguzi huo ni kwamba, hakuna mgombea aliyepata %99 kama inavyopata ccm ya Tanzania, wala hakukuwa na Mgombea aliyekatwa kama wanavyokatwa...
3 Reactions
10 Replies
775 Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa "the voices from within" na Maswali Fikirishi. Angalizo la Mambo ya Sauti. Kuna mambo ni yetu, na mambo mengine sii yetu, mambo ambayo ni yetu...
12 Reactions
133 Replies
12K Views
Mwenyekiti wetu wa NETO Joseph Paulo Kaheza amekamatwa na police mkoani Geita. Tumethibitisha hizi taarifa kutoka kwa mjomba wake ambaye alifika katika kituo hicho cha Central Geita Mjini na...
5 Reactions
177 Replies
11K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO), Joseph Paulo Kaheza, amepewa dhamana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita baada ya kushikiliwa kwa upelelezi kuhusu ushiriki wake katika...
8 Reactions
48 Replies
5K Views
Back
Top Bottom