Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Moja wapo ya ahadi ya mwana TANU ni "Nitasema ukweli Daima,fitina kwangu mwiko" na Leo Nitasema ukweli kama mwanaCCM unafiki sitaki. Bwana Heche ameonesha kubeza posho ya 400000 walizokuwa...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
UTANGULIZI: Nimewaita hapa leo kuzungumzia kashfa kubwa (major scandal) inayozunguka kile kilichopewa jina la uwekezaji wa kimataifa katika Bandari ya Zanzibar ambacho sasa kinawatafuna wananchi...
0 Reactions
1 Replies
659 Views
Hii ndio Taarifa yao iliyozagaa kote duniani iliyonifanya niulize kulikoni? Kama kuna anayejua kitakachojiri atueleweshe.
11 Reactions
32 Replies
2K Views
Ofisi ya mkurugenzi halmshauri ya wilaya ya Nachingwea februari 26,2025 imekabidhi mifuko ya saruji ipatayo 91 kwa Zuhura Mshana aliyepoteza watoto wawili na wajukuu wawili katika ajali ya moto...
2 Reactions
8 Replies
697 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, amedai kuwa chama hicho kimezuiwa kufanya mkutano wake uliopangwa kufanyika leo, Februari 27, 2025, katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam...
7 Reactions
76 Replies
3K Views
SERIKALI MNAJUKUMU LA KUWASAIDIA HAO VIJANA WA NETO NA WATANZANIA WOTE NA SIO KUWALETEA UKOROFI. TUSIWE KAMA WATU WASIO NA AKILI TUSIOJALI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana Wasomi wote...
13 Reactions
24 Replies
2K Views
Nadhani mwanasheria Mkuu wa serikali ayaangalie mapungufu katika ofisi ya wakili Mkuu wa serikali. Kama mwendesha mashtaka wa serikali (Dpp)anaweza kuendesha mashtaka mpaka mahakama ya wilaya au...
0 Reactions
4 Replies
382 Views
Yaani ukiwasililiza Machadema wanavyoropoka na kupayuka huko kuhusu kile wanaita Rasilimali za Nchi unaweza dhani labda sisi hapa Tanzania tunapata hasara au hatupati kitu kuliko Nchi zingine za...
0 Reactions
2 Replies
360 Views
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche alikuwa na haya kuhusu Kada ya Ualimu "Hakuna mtu anayeweza kuja akaniambia kwamba hatuwezi kuajiri walimu. Jana nimeona walimu wanapewa vitenge, wao...
10 Reactions
61 Replies
2K Views
Ukiwaajiri kwa wingi utajipunguzia idadi ya chawa kwa sababu hawatakubali kula punje wakati wana uhakika wa unga(ugali). Na ukisema uwaajiri wachache kundi linalobaki linaunda NETO,UYAM n.k ili...
2 Reactions
8 Replies
543 Views
Mimi si msomaji mzuri sana wa Maandiko Matakatifu , lakini ninafahamu kidogo kwamba ndani ya Biblia kuna kisa kilichomhusu Yesu na Petro , inaelezwa kwamba Petro alijaribu kupita Juu ya Maji kama...
10 Reactions
85 Replies
10K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza kupitia East Africa Radio leo Feb 27, amesema; "Katika mazingira yaliyopo hatutashiriki na uchaguzi hautafanyika, tumeamua kuhakikisha kwamba...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Ushauri Chama cha waalimu wasio na ajira, Non employed Teachers Organization (NETO) Kingeongesa wigo na kukusanya vijana wengi zaidi na kiwe Chama cha vijana wasio na ajira, Non employed Youth...
9 Reactions
63 Replies
3K Views
Wakuu, Yaani Rais Samia unawapa kazi kubwa kweli chawa kukusafisha:BearLaugh::BearLaugh::KEKLaugh:, kila wakianza kupiga hatua kuanza kuondoa tope unaenda kuogelea kwenye dimbwi kabisaaa...
2 Reactions
6 Replies
598 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji...
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia Tarehe 23-28 Septemba, 2024.
1 Reactions
1 Replies
432 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa...
0 Reactions
1 Replies
423 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga tarehe 24...
0 Reactions
1 Replies
450 Views
Tanga: Rais Samia akigawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza, Tanga Februari 27, 2025. https://www.youtube.com/live/f7YdbNKOKTs?si=3P4VZ7EdvyNewX9Q Ester Barua ambaye ni...
2 Reactions
2 Replies
701 Views
Kuepuka Media House kufungiwa, Lissu asihojiwe live, mrekodini kwanza mhariri kisha mrushe hewani. Lissu ni risk factor kwa media Ana tabia ya kuongea vitu vya kutuhumu na character assassination...
1 Reactions
8 Replies
714 Views
Back
Top Bottom