Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi ni Mwandishi wa habari na mtangazaji Elimu yangu ni ya Kati. Nina wazo la kufanya Kipindi kuelekea Uchaguzi mkuu mwaka huu ila Changamoto sina Jukwaa yaani sijaajiriwa kwenye media hizo...
3 Reactions
13 Replies
663 Views
Tarehe 3 Machi 2025 Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, amekabidhi bati 90 kuunga mkono juhudi za ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kupitia kikao chake cha dharura cha Kamati ya Siasa ya mkoani humo imekanusha vikali taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
"Bahati nzuri Kwa Mwaka huu Kwa maamuzi ya Chama, awe mbunge awe Diwani jina lazima lirudi, yaani hapo wametusaidia sana, hapo hamna namna lazima lirudi" - Steven Mhapa Mwenyekiti wa Halmashauri...
1 Reactions
1 Replies
348 Views
Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu yuko Nchini Uganda kwa ziara ya Kikazi. Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
13 Reactions
65 Replies
3K Views
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli. Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye. Ndio maana karibu na uchaguzi...
9 Reactions
105 Replies
4K Views
Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, amewataka wasanii wa Tanzania kutumia ushawishi wao kutangaza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
314 Views
Kuna wakati, mambo mabaya hutokea yakiwa yamebeba dhamira njema. Watu wa imani wanalifahamu hili. Yawezekana ukawa unataka kusafiri kwa basi, usiku ukaugua ghafla, ukasikitika sana kwa sababu...
5 Reactions
9 Replies
519 Views
Mheshimiwa Rais popote ulipo, na mheshimiwa Awesso, ni miezi mitatu sasa hatujui maji wakazi wa Ubungo Kibangu mtaa wa Kajima tunaomba msaada wenu viongozi wetu hali ni mbaya sana. Tuna miezi...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Robert Amsterdam naye ni wakili wa Bobi Wine.... Imenikumbusha kipindi kile cha kukaribia uchaguzi....zile NGO's ambazo zilitumiwa kupitisha fedha kutoka kwa wafadhili kwenda kwa CHADEMA....na...
0 Reactions
2 Replies
693 Views
Ninaishauri serikali ya Tanzania kupitia Bunge, kutunga na kuingiza Sheria ya mitaala mipya ya elimu kwenye katiba ya nchi. Huu ni hatua muhimu katika kuhakikisha mfumo wa elimu unakuwa thabiti...
2 Reactions
6 Replies
610 Views
Wakuu, Natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja. Taarifa mpya inaonyesha kwamba huu mpango wa Chadema Kuchangia chama chao unaoitwa Tone Tone ni balaa! Ni kama...
32 Reactions
167 Replies
9K Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Machi 3, 2025 amefuturisha watoto yatima na watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu jijini Dar es Salaam. Pia, Rais Samia amepata fursa ya...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Toka kampeni ya Tone Tone izinduliwe kumekwa na changamoto ya mtandao ambao haieleweki eleweki. Wakati wameshazindua na wakawa wanaitana mbele kila mmoja kuhamasisha watu wake...
2 Reactions
3 Replies
454 Views
Kipenzi cha wana Mbeya mama anayejitoa kwa kiasi kikubwa sana katika kuwahudumia wananchi wake na Tanzania kiujumla Dk Tulia Ackson. Ameendelea kufanya makubwa hadi duniani. Leo...
1 Reactions
6 Replies
527 Views
Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine nyingi duniani, imekuwa ikikabiliwa na changamoto za uchaguzi, ikiwa ni pamoja na tuhuma za udanganyifu wa uchaguzi (electoral fraud). Hali hii inachangia...
1 Reactions
1 Replies
477 Views
Je kwanini Maridhiano na 4R zime mshinda Raisi Samia? Kati ya sababu hizi 1. Raisi Samia alikuwa hana nia alitumia muda kujiweka sawa 2.Raisi Samia alizidiwa na makada vigogo ambao hawataki...
4 Reactions
15 Replies
768 Views
Kuna baadhi wameanza kulia kweli kweli kwa kwikwi wakilaumu suala hili, but my opinion our Neighbor, aingie mkataba wa win win situation, ili US Ifaidike na DRC Ifaidike, badala ya kuwa mali...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa. Tukumbuke Makonda ni nani Makonda akiwa na cheo cha Mkuu wa wilaya Kinondoni aliwahi kuja na mapendekezo na Maagizo...
54 Reactions
185 Replies
28K Views
Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa kumsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) Mkoa wa Tabora, Mayala Mburi, kutokana na...
9 Reactions
50 Replies
4K Views
Back
Top Bottom