Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania ,ninaleta kwenu wazo la kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye Katiba mpya.Ninapendekeza kwamba chama cha siasa au mgombea binafsi atakayepata kura kuanzia Asilimia Kumi (10%) kiwe...
2 Reactions
24 Replies
285 Views
Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu...
9 Reactions
72 Replies
930 Views
Bana nimeona watu wengi wenye pesa wakilala usingizi mgumu usiku, wakihesabu hela zao badala ya kufurahia maisha. Hata mimi nilipokuwa na pesa nyingi, nilikuta najiuliza "kwanini sijafurahi?"...
4 Reactions
12 Replies
207 Views
Fikiria kiongozi wa kamati kuu hajui hata trillioni 230 ni nini. Hakika CCM imefika mwisho.
2 Reactions
19 Replies
330 Views
Bana nimeona watu wengi wakipambana na pesa kama ni jambo la maisha, lakini ukweli ni kwamba pesa ni kama chumvi, ukikosea utajua shida lakini ukiweka nyingi kwenye chakula unaharibu kila kitu...
13 Reactions
33 Replies
429 Views
https://youtube.com/shorts/sNRkCxTNwsw?si=zY5a8w0jsQ8nDxgJ
3 Reactions
4 Replies
171 Views
Salum Mwalimu aliyekua Katibu Mkuu wa CHAUMMA na Mgombea Urais wa chama hicho 2025, akizungumza kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwenye...
3 Reactions
16 Replies
452 Views
Yaliyotokea Oktoba 29,kwa maoni na mawazo yangu yametokana na yafuatayo 1.Kukosekana kwa usawa wa kidemokrasia katika chaguzi, 2.Udini,Uzanzibar na Ujinsia. Suluhisho. 1.Kwa chama chochote cha...
1 Reactions
5 Replies
88 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema uamuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ndio utaratibu wa Sheria za Kikanda na Kimataifa ambapo ametoa mifano ya nchi mbalimbali...
1 Reactions
13 Replies
219 Views
FURAHA AU AMANI : Mtazamo wa Kiteolojia na Kidiplomasia katika Ustawi wa Tanzania Na Mch Emanuel Malembela (Mchambuzi wa Mambo ya Kijamii Na kiimani) "Tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli...
0 Reactions
3 Replies
61 Views
Bana nimekaa nikijiuliza kwanini watu wengi wana stress ya maisha ya watu wengine, mtu anafanya kazi kwa bidii halafu anarudi nyumbani anaangalia IG ya jirani ameweka story ya gari jipya na...
1 Reactions
3 Replies
72 Views
Kama mjuavyo Tanganyika ni moja wa waanzilishi wa SADC. Nani mwakilishi wetu huko 46th SADC Summit, Durban? Je tunaenda na Ndege gani Boeing 787? Airbus 320? Watu wa wizarani ndio wakati wa kwenda...
2 Reactions
6 Replies
223 Views
Wenyeviti 17 walioshiriki uchaguzi mkuu 2025 waendelee kutunzwa kwa wivu mkubwa maana hao ni tunu ya Amani na utulivu nchini
1 Reactions
18 Replies
175 Views
Hivi karibuni kumekuwepo na kesi ambazo tunaweza, kusema ni za mchongo, Kwani Hazina uhalisia na tuhuma zinazo chagizwa dhidi ya watuhumiwa iwe ni ugaidi au uhaini . Sasa
1 Reactions
4 Replies
69 Views
Taifa linakuwa na msomi kama huyu Dk Denis Muchunguzi litafika mbali kweli? Msomi mzima anajikomba badala ya kueleza ukweli na uhalisia wa siasa mbovu zinazoendelea nchini. Wasomi kama akina Dk...
2 Reactions
15 Replies
212 Views
Kwasababu, mpaka sasa uhakika wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa John Heche kuvuliwa nyadhifa zote za uongozi ndani ya chadema taifa na Baraza kuu la chadema taifa September 15 ni 100%...
5 Reactions
98 Replies
729 Views
https://youtube.com/shorts/JwMVAUPBoPE?si=bofgw1NFolHE6WUi "....Waambieni wanachama wasikate tamaa, wasimame imara kukipambania chama. Waambieni wachangie chama, songeni mbele msinisubiri mimi...
18 Reactions
18 Replies
614 Views
Ni muda mrefu sasa (yapata miezi 3) tangu kifungo cha JF kifike tamati lakini bado wahusika hawajaiachia 💯 %. Tukumbuke kuwa JF ilipigwa ban ya miezi 3 tangu September 2025 na hiyo ban ilipaswa...
15 Reactions
76 Replies
1K Views
Waziri Mkuu na Jaji mstaafu, Joseph Sinde Warioba, ameelezea kushangazwa na kuumizwa na wimbi jipya la ukamataji wa raia, wakiwemo wasomi, ambao wengine hufunguliwa mashtaka ya ugaidi mara tu...
10 Reactions
34 Replies
652 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…