Nawaza tu!
1. Kama hali ya Corona ikiendelea hivi with social distancing, kutakua na shamra shamra za kampeini nchi nzima?
2. Hali ikiendelea hivi wanachi watajitokeza kupiga kura?
3. Gonjwa...
TAARIFA KWA WANACHAMA NA WAPENZI WA ACT WAZALENDO.
Kama inavyofahamika, 2020 ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani. Kwa upande wa Zanzibar...
Katika hali isiyo ya kawaida , tangu mwaka 1928 TLS ilipoanzishwa, by the ikiitwa Tanganyika na mpaka leo inaitwa Tanganyika Law Society[huwezi kuita Tanzania law society kwakuwa kuna Zanzibar Law...
*MWIGULU UMEJIMALIZA MWENYEWE , USITAFUTE MCHAWI GIZANI*
Nimefuatilia sana mijadala hapa jukwaani kuhusu Mwigulu Nchemba kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020 Mwigulu akitamba kwa kujiita Mamba . Kwa...
Chama cha Nccr Mageuzi ndio chama kilichoasisi vuguvugu la Mageuzi nchini Tanzania na ndio chama pekee kisichopoteaga kwa kila kizazi, yaani walioshuhudia nguvu yake 1995 na wanaoshuhudia mwaka...
Ukilinganisha na uchaguzi wa kwanza nchi yetu ikiwa inafuata mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 chama cha upinzani kikubwa wakati huo kilileta upinzani na hata CCM iliogopa maana Nccr mageuzi ilikuwa...
Sugu ana street creds lakini huwa kuna muda vijana inabidi walipe kodi za nyumba,wanunue vocha, wakina mama wawe na vikundi vyenye hela na mitaji,watoto waende shule nk nk hapo ndipo anapokuja...
Kuanzia tuianze hii awamu ya tano ya Raisi MAGUFULI,Jimbo la BUMBULI tulikuwa na matumaini kibao ya kuwa na mbuge kijana na Mwenye exposure kubwa ya kisiasa ndani na nje ya nchi yetu(hata upinzani...
ANGUKO LA MWIGULU NCHEMBA
Mwigulu ni sikio la kufa, amekuwa akiporomoka kuanzia ngazi ya familia, sasahivi amekuwa mzee wa vimada tu, baada ya kulipuliwa na wadau mbalimbali kuhusu Tabia ya...
Wahenga wanasema siku hazigandi na kama ilivyokawaida October 2020 inakaribia. Na kila chama kitaweka mgombea kuanzia ngazi ya udiwani,ubunge na urais.
Kwa walioshika dola tayari inajulikama nani...
WAITARA, NYAMHANGA WAIGAWA TARIME KWA MASLAHI YAO BINAFSI KISIASA
Ni Naibu Waziri na Katibu Mkuu Wizara ya TAMISEMI.
Dhamira ni kuwarahisishia mipango yao kugombea majimbo ya Tarime Mjini na...
Tunajua NCCR Mageuzi Ndio chama ambacho upepo unakivumia vizuri baada ya kupita kwenye mawimbi mengi kwa miaka kumi mfululizo!
Kuna kila dalili hawa jamaa ndio wataunda kambi ya Upinzani...
Kheri ya Pasaka kwa Watanzania wenzangu.
Kama tunavyojua mwaka huu kuna harakati za Uchaguzi Mkuu na tayari wanasiasa wameanza kuzunguka hapa na pale katika kutafuta kuungwa mkono.
Na kila chama...
Inashangaza sana na inatia huruma, dunia nzima ipo katika wimbi zito la kupambana na ugonjwa wa Covid-19. Ugonjwa ambao umeua watu zaidi ya laki moja dunia nzima.
Wanasiasa na wafuasi wa Chadema...
Ziko sababu lukuki za kuonesha namna awamu hii ilivyofeli
1. Ikumbukwe walipoingia madarakani walituaminisha masuala ya wafanyakazi hewa na wanafunzi hewa wakatuambia na kiasi walichookoa na...
Ni ukweli usiopingika kwamba ubunge sio tuu kuwakilisha wananchi husika lakini pia ni ajira yenye malipo mazuri na uhakika Kwa kipindi cha miaka 5
Nadhani ni wakati sasa wananchi kuanza kuwapatia...
Kwa sasa tunakaribia uchaguzi. Mbinu ya kupata fedha kirahisi kama wewe ni mwanasiasa ni rahisi sana.
1. Tangaza nia kwamba unataka kugombea jimbo fulani na hakikisha unawaambia kwa kuwatuma...
Habari ni za saizi,
Ndugu wa Tanzania kutokana na Janga la corona ningeshauri serikali na NEC wachukue maamuz ya kutumia technologia katika kipindi cha uchaguzi.
Technologia ninazo pendekeza ni...
Ama hakika nimeona wewe kijana Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana kiakili. Unaweza kupanga mambo kwa muono wa mbali na yakafanikiwa yaani wewe kwa lugha adhimu ni mwana falsafa.
Mpango ulio...
Kuelekea mwaka huu wa uchaguzi,leo hebu tuwaangalie viongozi wetu wa majimbo(wabunge),tuliowapa dhamana ya uongozi ndani ya miaka mitano.Huku nilipo ni ktk jimbo la Ukonga jijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.