Uchaguzi 2020 Ukitaka kipindi hiki kupata fedha kirahisi

lutemi

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
1,683
2,000
Kwa sasa tunakaribia uchaguzi. Mbinu ya kupata fedha kirahisi kama wewe ni mwanasiasa ni rahisi sana.
1. Tangaza nia kwamba unataka kugombea jimbo fulani na hakikisha unawaambia kwa kuwatuma marafiki zake na mheshimiwa mbunge kwamba nia unayo na support ni kubwa .
2. Hakikisha unajua udhaifu wa huyo mtangulizi kwa kuzitaja dhahili
3. Tambua mbinu zake kwamba watu wamemchoka kwelikweli wanataka mabadiliko
4. Waambie nipo hapo kwasababu nimeagizwa na aliyejuu kwamba nigombee hilo jimbo maana wewe huna tija. Kama yule wa tandahimba
5. Jipitishe jimboni mara kwa mara na ukitoa ahadi kedekede na kumkandia jamaa
6. Jamaa atataka kukutafuta ili akuzimishe sasa wewe mwambie huwezi onana kifala ila mrushie account aweke hela alafu achana na hilo jimbo nenda la jirani au msuke mwingine.
Ila cheza kwa akili.
Wabunge wamepaniki lazima kiinua miguu tugawane
 
Faru Kabula

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
12,846

Inaweza kuwa nzuri ila imekaa kama kuonja sumu kwa ulimi, maana jamaa anaweza akadhani upo siriazi akakupoteza duniani
 
Akasankara

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
2,906
2,000
Ni mbinu inayotumiwa na makada wa ccme ili wakishindwa basi hao unaosikia wakuu wa wilaya, wakurugenzi, Das na Ras. Orodha ni ndefu
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
5,475
2,000
Kwa sasa tunakaribia uchaguzi. Mbinu ya kupata fedha kirahisi kama wewe ni mwanasiasa ni rahisi sana.
1. Tangaza nia kwamba unataka kugombea jimbo fulani na hakikisha unawaambia kwa kuwatuma marafiki zake na mheshimiwa mbunge kwamba nia unayo na support ni kubwa .
2. Hakikisha unajua udhaifu wa huyo mtangulizi kwa kuzitaja dhahili
3. Tambua mbinu zake kwamba watu wamemchoka kwelikweli wanataka mabadiliko
4. Waambie nipo hapo kwasababu nimeagizwa na aliyejuu kwamba nigombee hilo jimbo maana wewe huna tija. Kama yule wa tandahimba
5. Jipitishe jimboni mara kwa mara na ukitoa ahadi kedekede na kumkandia jamaa
6. Jamaa atataka kukutafuta ili akuzimishe sasa wewe mwambie huwezi onana kifala ila mrushie account aweke hela alafu achana na hilo jimbo nenda la jirani au msuke mwingine.
Ila cheza kwa akili.
Wabunge wamepaniki lazima kiinua miguu tugawane
Lazima uwe na pesa ili upate pesa, mtaji wa siasa ni watu na hao watu wengi wao wamechoka na tumeona wakirubuniwa kwa pesa
 
Samwel Ngulinzira

Verified Member
Aug 5, 2017
1,721
2,000
Kwa sasa tunakaribia uchaguzi. Mbinu ya kupata fedha kirahisi kama wewe ni mwanasiasa ni rahisi sana.
1. Tangaza nia kwamba unataka kugombea jimbo fulani na hakikisha unawaambia kwa kuwatuma marafiki zake na mheshimiwa mbunge kwamba nia unayo na support ni kubwa .
2. Hakikisha unajua udhaifu wa huyo mtangulizi kwa kuzitaja dhahili
3. Tambua mbinu zake kwamba watu wamemchoka kwelikweli wanataka mabadiliko
4. Waambie nipo hapo kwasababu nimeagizwa na aliyejuu kwamba nigombee hilo jimbo maana wewe huna tija. Kama yule wa tandahimba
5. Jipitishe jimboni mara kwa mara na ukitoa ahadi kedekede na kumkandia jamaa
6. Jamaa atataka kukutafuta ili akuzimishe sasa wewe mwambie huwezi onana kifala ila mrushie account aweke hela alafu achana na hilo jimbo nenda la jirani au msuke mwingine.
Ila cheza kwa akili.
Wabunge wamepaniki lazima kiinua miguu tugawane
IMG_20200406_164633_057.JPG
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom