Rais Donald Trump ametangaza kuingia mkataba wa amani na Iran.
Amefanya hivyo kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwake?
Je, mkataba huu utafuatwa au kuvunjwa kama ilivyokuwa huko Gaza ambapo...
Sheikh anatoa nasaaha nzito akitaka kuwepo kwa uwazi kabisa kuhusu mambo ya Muungano ili kuondoa migogoro na migawanyiko kati ya wananchi wa Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar. Anatoa wito wa...
Hili ni suala la msingi sana ambalo linatakiwa kupatiwa majibu.
Wamepotea watu ambao kama taifa watu wanahuzuni kubwa sana. Humphrey Poleole, Azory Gwanda na wengine wengi wanahuzunisha taifa kwa...
Napendekeza pasiwepo na huruma, aibu wala kumuonea haya yeyote yule atakae thubutu au kujitia kimbelembele kujaribu kuvuruga amani au kutatiza shughuli za uzalishaji za waTanzania kote nchini...
Andrew Nyerere ambaye ni Mtoto wa Mwalimu Nyerere anaeleza haya kupitia akaunti yake ya Facebook
--
Hapa nadhani kuna fundamental ignorance kuhusu matatizo yanayotukabili. Fundamental ignorance...
Tunaomba JamiiForums itusaidie kupaza sauti zetu kwa TAKUKURU ili ichunguze tuhuma za rushwa katika Ofisi za Ardhi, Arusha.
Wananchi wengi wanakumbana na changamoto kubwa wanapohitaji hati za...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, ametembelea familia ya Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Iringa, Ibrahimu Myovela, ambaye kwa mujibu wa familia na chama hicho hajulikani alipo tangu...
https://www.youtube.com/live/Ex4phmqWLxY?si=-kvbHkryi4LV2ROJ
Video: MATUKIO DAIMA MEDIA
Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasi na maendeleo (Chadema) John Heche ametaka jeshi mkoa wa Iringa...
Kupitia Taarifa kwa umma iliyotolewa leo Desemba 26, 2025
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinakemea vikali wimbi la ukamataji viongozi linaloendelea katika Kanda ya Serengeti...
Chaguzi zote tumewachapa, hata 2030 tutawachapa, sisi sio chama cha matukio
Kihongosi akizungumza na wanahabari leo 13 Juni, 2026 amesema kuwa Wakati wa kuanzishwa vyama vingi Mwalimu Nyerere...
Sigrada Wilhem Mligo Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Mkoa wa Njombe, CHAUMMA akichangia bungeni ameitaka Serikali kupunguza matumizi ili pesa zielekezwe kwenye miradi kusaidia wananchi...
Objection ya CCM dhidi ya uwepo wa Serikali ya Tanganyika ni baseless (or at least outdated).
Hapa duniani ipo mifano kadhaa ya nchi ambazo zina muungano unaofuata mfumo wa shirikisho (federal...
Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby ameikosoa mfumo wa utoaji wa leseni kwa waendesha bodaboda, akidai kuwa gharama zinazohusiana na mafunzo na upatikanaji wa leseni ni kubwa na zinawaumiza vijana...
Nawaonya vijana maana nyinyi ndiyo mnashikika masikio kirahisi msije mkajaribu kuratibu, kupanga na kuandamana tarehe 7.7.2026 kutakua kuna show ambayo haijawahi kutokea.
Vyombo vya Ulinzi na...
Kama taifa tuna hasara kubwa sana tena kubwa. Viongozi wenye busara na maono hawapo kabisa.
Chalamila alichoongea ni lugha ya hovyo kabisa ambayo haina weledi ndani yake. huwa anaropoka tu bila...
Freeman Aikaeli Mbowe,
aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa...