Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siasa ni sayansi. Ni dhahiri mgombea wa Chadema atakuwa Lazaro Nyalandu na mchungaji Msigwa yeye ni msindikizaji tu. Ikumbukwe Mh Mbowe na Nyalandu walisafiri hadi Ubelgiji aliko Lisu na kufanya...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
MCHAKATO WA UCHAGUZI MAJIMBONI 2020 HATUA YA KWANZA -Kuchukua fomu (Kimyakimya bila mbwembwe) -Kujaza Fomu -Kurudisha fomu -Kujadiliwa na kamati ya siasa wilaya (Wanatoa maoni kwa kila Mgombea...
9 Reactions
43 Replies
4K Views
Zoezi la uhakiki wa taarifa za mpiga wapiga kura wapya linafanyika sehemu mbalimbali Tanzania. Zoezi hili kinakwenda taratibu kana kwamba hatuna mifumo inayoweza kurahisha kazi na badala yake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kuweka wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura kwa siku 4 kuanzia Juni 17 mpaka Juni 20 katika vituo vilivyotumika wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
CHADEMA yangu imepatwa zimwi gani linalopelekea mambo kwenda hobela hobela. Kule Tundu Lissu ameanza kuomba achangiwe pesa ya uchaguzi wakti hata hajateuliwa kupeperusha bendera ya chama. Huku...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu wa mikoa ya Tanzania Bara huteuliwa na kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye kwa sasa ni jemedari shupavu Dr. John Pombe Joseph Magufuli na kwa upande wa Zanzibar Rais...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
VIDEO Courtesy: CHADEMA Lazaro Nyalandu 2020 Mabibi na Mabwana, Ndugu Wanahabari, Leo natangaza rasmi azma yangu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha...
4 Reactions
53 Replies
8K Views
Kwangu mimi nadhani mngeanza ku-address hilo. Kutia nia bila kulisemea hilo, kwangu mimi ni kupoteza muda. Kwa utawala huu watafanya kama walivyofanya Serikali za Mitaa au hata zaidi ya hapo...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
NIMEMSIKILIZA SANA MSIGWA NA HOJA ZAKE ZA KUTAPATAPA ALIPOONGEA NA WAANDISHI WA HABARI AKITANGAZA NIA YAKE YA KUGOMBEA URAIS 2020. Nashukuru kuwa ameanza kwa kutambua jitihada za serikali ya CCM...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Napendekeza CHADEMA wafanye debate ya wazi kwa Urais. Napenda vilevile nione wana Ilboru wenzangu Lissu na Nyalandu ambao ndiyo watafaa kwa mawazo yangu. Kwa wasiojua Lissu aliacha record zake za...
12 Reactions
86 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi, Mimi binafsi imenishangaza na kunishtua kuona kwamba mpaka sasa hakuna yoyote aliejaribu hata kujitokeza tu kuchkua fomu. Kuna maswali mengi sana fikirishi katika hili. Je ni...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani Tujipange kwa Kumpigia kura Rais wetu JOHN MAGUFULI, tusikubali kupoteza Kura zetu huyu ni Rais Mchapa kazi na Mtetezi wa Wanyonge atarudi tena kwa kishindo kikubwa Oktoba, 2020...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Idd Seif amesema urais wa Zanzibar hauuuzwi bali upo kwa ajili ya wananchi wa Unguja na Pemba. Balozi Idd ametoa onyo kwa wote waliojipanga kutumia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Bahati nzuri au mbaya flyovers, ujenzi wa barabara pana, ndege, na meli havijafika huku kwetu Nanjilinji hivyo sio rahisi watu kupiga kura kwa kushawishiwa na vitu Kama hivyo. Wao bado wanasubiri...
2 Reactions
0 Replies
854 Views
Upinzani hususani, CUF na CDM wapo hatarini kupoteza viti vingi vya ubunge, udiwani kutokana na sababu moja kubwa. Wapiga kura wamekuwa wakiwapa kura zao, wao hawajiandai kulinda kura zetu Wala...
0 Reactions
6 Replies
985 Views
Wote mnakaribishwa Labda kwa faida ya wageni na wengine , Mchungaji Msigwa ndiye mbunge aliyekomesha siasa za kishamba Iringa mjini , huyu ndiye kiongozi aliyeifuta ccm Iringa , ambapo uchunguzi...
7 Reactions
58 Replies
6K Views
Habari wadau, Kwa jinsi Mambo yanavyo endelea Tanzania. Ni wazi watu wengi na Taasisi nyingi zilikua zinasubiri nan waanzishe mada ili wao wasapoti. Baada ya Wabunge wa TANZANIA kuweka wazi...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Wasalaam, Katika kumbukumbu zangu nimekutana na gazeti la Mawio liliochapishwa Alhamisi,Januari 1-2015 Ukurasa wa tano nimekutana na habari iliyonifanya niipitie tena kuisoma baada yakusoma...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nyalandu atajwa kumvaa Lissu urais CHADEMA Joto la kuwania kupeperusha bendera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye uchaguzi mkuu kwa nafasi ya Urais, limezidi kupanda baada ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Eti makamanda mfano wewe ndio MBOWE au Zitto au viongozi wengine wote wa upinzani kwenye kampeni mtawaambia Nini wananchi ili wawachague Tena? Maana sera zote muhimu Rais Magufuli amesha zifanyia...
3 Reactions
55 Replies
4K Views
Back
Top Bottom