Uchaguzi 2020 Viongozi wa dini na wananchi wameshabariki Rais Magufuli kuongezewa muda wa kusalia madarakani?

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Habari wadau,

Kwa jinsi Mambo yanavyo endelea Tanzania. Ni wazi watu wengi na Taasisi nyingi zilikua zinasubiri nan waanzishe mada ili wao wasapoti.

Baada ya Wabunge wa TANZANIA kuweka wazi mapenz yao juu ya kutamani kuona Rais John Pombe Magufuli anaongezewa muda wa kusalia Madarakan. Watanzania wote wameonyesha kukubalia na hoja hiyo, tena bila kupigwa

Huu ni muda wetu Watanzania wa kutumia Uhuru wetu wa kikatiba kukamilisha yale tunayoyataka kwani Tanzania ni sisi pekee ndio wenye mamlaka ya kuibadilisha Katiba.

Pia napenda niwakumbushe Chadema ukiona unamlaum kila mtu mwenye maisha yako jua wewe ndio tatizo.

CHADEMA leo wanalaum serikali; wanalaumu wananchi; wanalaum Jeshi la Police; wanalaum Jeshi la Wananchi; wanalaumu Takukuru; wanalaum kila sekta Tanzania.

Pia wamefika mbali na kuanza kulaum mpaka viongozi wa dini kuw wamewatenga pia wanajua wanafanya yote hayo na wanafaham kila mtu TANZANIA Hana habari ndiomana kila siku wanatoa lawama zao

Mara watanzania wamekaa kimia wakat katiba inataka kuchezewa wamesahau kua hata wao kwa mwenyekit wao mpenzi walipo kua wanaivunja katiba walikaa kimia na kusema kua mwamba tuvushe tumekubal na hakuna Alie walaum kwa wao kufanya kile kitu ambacho kimepelekea matatizo ya mwenyekit kujifanyia anacho taka Mpaka kufikia hatua ya kuanguka kisa kule..

Watanzania tumeamu tumpe NCH Magufuli atuvushe
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Tatizo linaanzia hapa
FB_IMG_1592024975523.jpg
 
Amalize muda wake miaka 10 apishe Mtanzania mwingine achukue miaka yake.

Kikubwa atatusababishia matatizo makubwa kama nchi....maendeleo ya demokrasia na haki ni muhimu saana hasa tulipofikia kama nchi.
 
Leo mnawasimanga viongozi wa Dini sababu tu hawapo upande wenu mwanzo mlikua mnawaomba waongelee Ukwel Kwan wao ni viongozi wa din leo mnataka waongee uongo kisa tu Ukwel unawagandamizen
Sio mbaya kama viongozi wa dini wameridhia basi muda wake ukiisha akaongoze kanisa au msikiti
 
"Kila Watanzania kumi,nane kati yao wanataka Rais Magufuli aongezewe muda"

...hivi TWAWEZA wameanza tena kufanya utafiti?
Bila shaka sakata la Mkurugenzi wao la uraia limekwisha...
 
Back
Top Bottom