Wanabodi,
Kitendo cha taarifa nyeti za mambo binafsi ya ndani kabisa yanayotokea ndani ya nyumba yetu na kupelekwa nje ya nchi na hatimaye kuvujishwa kwenye mitandao ya kijamii zikitokea nje ya...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema anamtaka Mwenyekiti wa CCM ajitokeze kwenye mdahalo wa ana kwa ana kujadili mustakabali wa taifa. Akizungumza katika mahojiano na Kituo cha...
Na je,
Mkapuchini Jude Thaddeus Ruawa'ichi O.F.M.Cap, Archbishop of Diocese of Dar Es Salaam Tanzania, yu hali gani kisiasa kwa sasa?
Au amerudishwa madhabahuni kwa lazima na katekista J...
Alichemka kule Geita, alionesha kuwa hakuna analojua na cha kushangaza akaletwa Dodoma Mji Mkuu, huku nako naona yaleyale!
Je, alipita wapi huyu hadi kupewa cheo kama hiki kilichozidi kimo na...
Yericko Nyerere amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuwa macho na viashiria vya maandamano anayodai yanaweza kuwa na mpango wa kuhatarisha amani.
Kupitia mtandao wa X, Yericko amedai kuwa...
DEATH ANNOUNCEMENT
Somaiya Family regrets to announce the sad and sudden demise of Mr Tanil Chandulal Somaiya on Wednesday 11 August in Dar es Salaam.
Funeral details to be announced later.
We...
Mheshimiwa Waziri Mkuu,
Katika uongozi kuna siku za pongezi na kuna siku za lawama. Kuna siku watu watakushangilia na kuna siku watu watakosoa kila hatua unayopiga. Hayo yote ni sehemu ya safari...
Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, amepongeza hatua za Serikali za kubana matumizi kupitia mapendekezo ya bajeti mpya, akieleza kuridhishwa na uamuzi wa kuondoa baadhi ya tozo kwa magari...
Wanaukumbi kuna hoja hii bungeni kumbe wenzetu wanazalisha sana mashoga. anadai huko mtaani kuna mashoga wengi sana,
https://www.facebook.com/reel/849500724676882...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amelitupia lawama kali Jeshi la Polisi nchini akidai kuwa limepoteza weledi na kugeuka kuwa chombo kinachotumika kisiasa dhidi ya wapinzani...
Ni vema mtu huyu akajulikana na kufahamika
Hii ni kwa SABABU Mtu huyu ni Mtekaji na Muuaji, Amenukuliwa ndani ya vikao vya Serikali akitoa kauli hiyo ya Kishenzi kwamba kila atakayebainika kutoa...
Ukweli ni kwamba kisiasa pamoja na taaluma yake ya uwakili Lissu alifuatwa na Mbowe akitokea NCCR-Mageuzi, Msigwa alitokea TLP 2005 alipata kura 8000 mgombea wa Chadema alipata kura 2000 ndipo...
Rais Mstaafu Mzee Kikwete akiongea wakati wa Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji amesema baba yake Yusuf yaani mzee Manji alipokaribia kufa alimkabidhi mwanae Yusuf Manji Ili amlee.
Dua...
Mambo yetu ili yanyooke mtoeni jamaa nje alafu moja kwa moja aje nyumba mithili ya meli ! Pale wanapoingia kwa code maalumu na hawaitani majina wanaitana chifu pili ukienda ijumaa aga kabisa...
Inasikitisha kuona kwamba maswali mengi yanayoulizwa bungeni yamekuwa ya kawaida sana, mara nyingine yakikosa uzito unaostahili kwenye chombo kikuu cha uwakilishi wa wananchi. Bunge linapaswa kuwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Super breakfast cha EATV radio leo Juni 17, 2026.
"Lissu ni mtu ambaye...
Kwa Nini Waziri Mkuu Lazima Awe Karibu na Wananchi? Mtazamo wa Kikatiba
Anaandika Thomas Joel Kibwana, Mchambuzi wa Siasa
Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya wabunge na wanasiasa wa upinzani...
Ndiyo, kama ulipata D 2 au hata 3 huwezi kuelewa. Hili genge liliundwa na hawa tunaoona wakisifia kazi zake (kazi za genge).
Kwani si mmeona watu wanasena fulani katekwa sababu ya ugomvi wa...