Mara zote tuliwaasa kusimama na maslahi ya watu yaani kuzisemea shida za watu na kuja na sera mbadala kwa ajili ya watanzania.
Chadema ilihama kutoka kuwa chama cha upinzani kwa maslahi ya...
Ukiona jambo lolote linapiganiwa na viongozi wa CHADEMA ujue linawagusa.
Hebu tuangalie mfano huu. Kuna askari usu wa wizara ya maliasili na utalii, Askari wa TFS, TAWA, NGORONGORO, TANAPA . Kwa...
Hapa anajifanya anatoa ushauri na blaa blaa kibao ila yote hii ni nongwa maana Hawa ndio walitamani Kila kitu kiporomoke Ili wapate pa kumnangia mwanamke mwenzao 😁😁😁😁
Unajaribu kujiuliza hayo...
Wanabodi,
Kile kilichotokea October 29 kilichangiwa na kauli mbofu mbofu za baadhi ya viongozi wa umma ziko kinyume cha maadiili ya viongozi wa umma!, Je Media tuwaripoti viongozi hao bila uoga...
Salam?
Miezi sita imepita tangu upate fursa ya kurudi tena mjengoni kupitia UKAWA-Chadema. Vipi kulikoni mbona hausomeki? Yale makeke yako siku hizi mbona hatuyaoni mtaani /jimboni kwako mpaka...
Historia ni somo zuri maana huwa halidanganyi.
Tunawaona hawa EU wanavyojifanya sasa kutaka kutuaminisha kwamba ni wapenda demokrasia mahiri.mimi binafsi na pia wengi wenye mtazamo kama wangu...
Aisee, nani angeweza kujua kuwa ndani ya CHADEMA kuna ujambazi wa kutisha wa fedha za wanachama na wananchi. Hiki kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama umeibua mambo mazito na kukianika...
Kwa kitendo alichokisema Mnyika ni utoto tu, suala la fidia lilisha shughulikiwa muda na mahakama kuu na Mnyika analijua hilo na suala la vyuma kukaza mara demokrasia pale hapakuwa mahala pake...
Ndugu zangu,
Ajizi nyumba ya njaa,mambo yanaenda kasi sana,kabla ya kuvunjwa bunge mwaka 2015 Chadema walingumzia mambo yanayotakiwa kufanyika ili Tanzania na wananchi wake wanufaika na hakika...
Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amesema haiwezekani kuwazuia vijana kuandamana wanapokuwa na hasira zinazotokana na kero mbalimbali zinazowakabili katika jamii...
Hapa kijijini kwetu kuna muungano wa familia mbili unashangaza sana, huu muungano ulianzishwa Mara tu baada ya simba alokuwa akila watu kufukuzwa, familia zikabaki na hofu kubwa sana,
Sasa...
Kikosi cha Wanajeshi kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kimewasili nchini Comoro, ambapo kinatarajiwa kushiriki maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo yatakayohudhuriwa...
Tanzania ina changamoto za ufisadi, rushwa na ubadhirifu wa mali za umma, kama zilivyo nchi nyingi duniani. Hata hivyo, ukubwa na aina ya matatizo hayo hutofautiana kati ya sekta na kipindi...
Mnyika ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wananchi wa Masasi leo Ijumaa Juni 19, 2026 kwenye muendelezo wa ziara za Chama hicho Kanda ya Kusini, akiliita jambo hilo kama kihoja kinachofanywa...
Wanajukwaa, nina imani wote mko sawa.
Pasipo kupoteza muda, naomba niingie kwenye mada tajwa hapo juu.
Binadam kwa kawaida, huwa na hulka ya kulipiza kisasi kwa aliyemkosea au adui yake. Hiki...
Profesa Anna Tibaijuka amesema polisi wana haki ya kuhoji kauli au jambo lisiloeleweka wanapohisi linaweza kuwa na viashiria vya uchochezi au kusababisha vurugu.
"Polisi akisikia jambo...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazozalisha chakula kwa wingi katika ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, hali inayofungua fursa kubwa ya...
Mbunge wa jimbo la Mbogwe mkoa wa Grita Fagason Nkingwa ana umri wa miaka 36, wake 3 na watoto 16.
Hakika anatekeleza agizo la Mungu kwenye Mwanzo 1:28; Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia...