Wanabodi,
Jumatatu ya leo, nimeipata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Leo nazungumzia Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, nchi yako inapatwa na majanga, halafu...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Namibia zinapaswa kuimarisha ushirikiano katika sekta ya mafuta na gesi kufuatia ugunduzi wa akiba kubwa ya gesi baharini katika mataifa...
Tanzania inatajwa kuwa na deni kubwa zaidi miongoni mwa nchi zilizotajwa, ikidaiwa dola za kimarekani milioni
Mataifa mengine yaliyotajwa ni Uganda (dola milioni 15), Jamhuri ya Afrika ya Kati...
Maandamano yanayopangwa hiyo 7/7 hayatofanikiwa! Psychology ya watu haipo kabisa huko.
Afadhali wanaharakati wangewaacha CDM waendelee na mikutano yao na kuendelea kushawishi pressure kutoka nje...
Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.
Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana...
20 June 2026
YAH : Tamko rasmi la CHAPTERS ZA TLS NA AYL kupinga na kulaani mashauri ya kimaadili yaliyofunguliwa dhidi ya Boniface Mwabukusi
. June 20 2026
Viongozi wa Chapters (matawi) na...
Akiongea Star TV kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Prof Tibaijuka anayejinadi kama mtu wa hoja amesema kuwa wakati wa sakata la Escrow hakusema hela ile (1.6 bil) ni ya mboga Bali wabaya wake...
Raisi anapoapishwa, anatamka kwa namna iliyo wazi sana kwamba ataulinda muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT), na hiki ni kipengele kikubwa sana cha kiapo chake. Raisi ana mamlaka...
Na bado watazomewa sana mpaka uchaguzi upite tutashuhudia mengi.
================================
Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka jana alijikuta kwenye wakati mgumu baada...
Aliekuwa waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi na mbunge wa jimbo la muleba kusini prof.Anna Tibaijuka na kisha kufukuzwa uwaziri kwa kashifa ya ESCROW amekuja na pesa hizo na kuanza...
Hizi ndo akili za CCM. Yaanni wenzao wanafanya mikutano, CCM wanamalizia hasira za kukataliwa kwenye vizimba.
CCM wana roho ya Uharibifu. CCM imeshashindwa siasa, imebaki kuwa kikundi cha Maovu
Sijajua bado, kwanini mtu licha ya kusoma sana lakini bado anakuwa na akili za kufikirika ambazo zimekosa mental autonomous,
Mtu anajua kabisa chadema hawana hoja za kwann wapigiwe kura lakini...
Wadau ni mda mrefu sasa kumekua na habari mtaani.Kwamba Cuf au Maalim Self wakipewa Nchi ya Zanzibar .Wale waarabu na Ukoo wa Sultan watarudi kuitawala tena Zanzibar.Na hii ndio sababu CCM hawako...
Accession of the Sultanate of Zanzibar to the United Nations in 1963
and
The speech given by Prime Minister of the Sultanate of Zanzibar in the United Nations in 1963
MTATIRO AZINDUA "WIKI YA KAZI" WILAYA YA SHINYANGA, AWAHIMIZA WANANCHI KUJITOKEZA NA KUSHIRIKI KIKAMILIFU.
==
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Mhe. Julius Mtatiro, anaanza rasmi Wiki ya Kazi...
CHADEMA NA SWALI LA MCHANGO WAKE KATIKA MAENDELEO YA TAIFA: MTIZAMO WA KIKOSOAJI
===
Katika mfumo wa vyama vingi vya siasa, kila chama hupimwa kwa uwezo wake wa kutoa mchango chanya katika...
“Is Tanzania shifting toward Russia as a new foreign policy or cooperation strategy after President Samia’s recent Russia visit?” — the short answer is:
Possibly yes, but not as an exclusive...
Nacheka na inashangaza kuona namna wabongo wengi kwa sasa badala ya kuiga maisha na megacy za machifu au wazee wa mila wao wanaiga maisha ya miaka ya 70s au 80s ya walami.
Karibuni kwa mjadala
Mwaka 2030 January Makamba ni mgombea wa CCM!!! Sijasema atakuwa raisi maana kazi itakuwa ngumu kutokana na kwamba tutakuwa na Katiba Mpya ambayo italeta ugumu kwa CCM !!!! Mheshimiwa Polepole...