Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baraka za Idd El Fitri zimfikie kila mmoja wetu popote Alipo, tusherehekee kwa Amani. Baada ya Utangulizi huo Muruwa, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja. Ni hivi, Ile kampeni Tukufu ya No...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
https://youtu.be/_X_QgulWKlM?si=kz5G6jk79XVRX1R8 Safari hii hatutaki comed, tunataka uchaguzi kweli. Wewe Yanga unaenda kwenye match dhidi ya Simba ambayo refa na jopo lake lote wameteuliwa na...
4 Reactions
5 Replies
488 Views
Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Geita kimekemea baadhi ya wanachama wake ambao wanaendesha kampeni za chini chini kabla ya wakati jambo ambalo linakiuka katiba ya chama Mwenyekiti wa CCM mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
297 Views
Bunge la 12 limepoteza wabunge 10,ndani ya kipindi cha miaka mitano,wastani wawabunge wawili kwa mwaka. Halu ni hiyo hiyo kila bunge Wabunge na watia nia hawapendi kusikua habari kama hizi za...
2 Reactions
4 Replies
547 Views
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, leo tarehe 3 Aprili 2025, Umefanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo katika kata ya Mboliboli, tarafa ya...
0 Reactions
1 Replies
354 Views
Kwa sisi tunaomjua mbatia ni mwanasiasa Nguli na anapenda sana haki, mbona yupo kimya sana na haonekani kwenye media. Tulitarajia hili suala la Bandari na bajeti ya kipumbavu iliyopitishwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana wa kuwanenea viongozi wao mazuri kutokana na juhudi kubwa...
0 Reactions
5 Replies
400 Views
1. Mbowe rafiki yenu angekuwepo leo 2. No reform no election isingekuwepo leo 3. Lissu na Heche wasingekuwepo kwenye uwenyekiti leo 4. Chadema Nimo isngekuwepo leo wangekuwa wanasubiri pesa za...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Wazo la lissu ni mukide kabisa !! Rais apewe miaka mitatu ya mpito ili tufanye reforms za uhakika kuanzia katiba na maoni kwa wananchi kazi hii mpaka ikamilike itachukua sio chini ya miaka 3 ...
20 Reactions
183 Replies
5K Views
Katika kuweka malengo huwa unabidi usiangalie muda Ila unabidi kuangalia njia sahihi ya kutimiza hayo malengo. Kutoa miaka mitatu ya kujipanga kuandaa reform , kuandaa katiba Mpya sio mbaya maana...
4 Reactions
15 Replies
829 Views
==== Wakati Tanzania na Watanzania kwa gharama kubwa wakiendelea kujiimarisha kifedha, kitaasisi na kirasimali watu ili kupambana na rushwa na Ufisadi nchini kwenye baadhi ya miradi na taasisi...
39 Reactions
219 Replies
7K Views
Sijajua ni kwanini Watanzania kuna wakati huwa tunajidharau bila ya kuwa na sababu zozote za msingi hasa pale tunapojihisi hatufanyi vizuri bila ya kuwa na data Wala taarifa yoyote. Sasa...
39 Reactions
127 Replies
5K Views
Hivi hivi Ndugu zangu, Ukweli ni kwamba , Yale Mabadiliko ya Sheria za Vyama vingi mwaka 1992, yalipoondoa Sheria ya Ugawaji majimbo kulingana na Idadi ya Watu, Kwa wakati ule wa Chama Kimoja, na...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama Kuna mwanaCCM kaisikiliza Hotuba ya LISSU kwa kutumia Akili zake with Open Heart and clear Mind , bila uchawa Wala kutanguliza matumbo na bila kushupaza Shingo. Mtakubaliana namimi, MWAKA...
24 Reactions
55 Replies
3K Views
Kama upinzani utakomaa na no reform no election ni rasmi vituo vya kupiga kura vya kawaida kutatokea vurugu ambazo zitaharibu utulivu na polisi hawawezi tuliza ghasia vituo vyote nchi nzima...
0 Reactions
12 Replies
793 Views
Kwa mnyukano unaoendelea ndani ya chama kinachoongozwa na adui wa demokrasia Tundu Lissu ni wazi kuwa laana mbalimbali za kupuuza ushauri uliwahi kutolewa na wabobezi wa siasa za nchi hii nikiwemo...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Mfumo wa CCM wakupata wagombea hautegemei kukubalika kwa wagombea kwa wanachama. Ni mfumo unaotegemea unajipendekeza vipi kwa wakubwa. Mfumo huu umepelekea wanaccm wengi wenye akili na nguvu...
0 Reactions
0 Replies
329 Views
== Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ndg. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati kuu pamoja na Halmashauri kuu ya CCM , Jijini Dodoma.
16 Reactions
61 Replies
4K Views
Katika Ukurasa wake wa (X) zamani tweeter Mkurugenzi wa PPP-Cetre Tanzania Bw David Kafulila amesema kuwa utafiti uliofanywa na taasisi ya kitafiti ya Steadman au SYNOVETe mwaka 2008 ulibaini kuwa...
25 Reactions
234 Replies
6K Views
Kuna vitu vinafanyika nchini hadi unapatwa na vicheko ukifikiria yanayoendelea halafu watawala hata hawajali, wanapiga hela na wanatutambia Baadhi ya mambo yanayochekesha nchini na serikali...
4 Reactions
6 Replies
629 Views
Back
Top Bottom