Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Mbowe rafiki yenu angekuwepo leo 2. No reform no election isingekuwepo leo 3. Lissu na Heche wasingekuwepo kwenye uwenyekiti leo 4. Chadema Nimo isngekuwepo leo wangekuwa wanasubiri pesa za...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Wazo la lissu ni mukide kabisa !! Rais apewe miaka mitatu ya mpito ili tufanye reforms za uhakika kuanzia katiba na maoni kwa wananchi kazi hii mpaka ikamilike itachukua sio chini ya miaka 3 ...
20 Reactions
183 Replies
5K Views
Katika kuweka malengo huwa unabidi usiangalie muda Ila unabidi kuangalia njia sahihi ya kutimiza hayo malengo. Kutoa miaka mitatu ya kujipanga kuandaa reform , kuandaa katiba Mpya sio mbaya maana...
4 Reactions
15 Replies
829 Views
==== Wakati Tanzania na Watanzania kwa gharama kubwa wakiendelea kujiimarisha kifedha, kitaasisi na kirasimali watu ili kupambana na rushwa na Ufisadi nchini kwenye baadhi ya miradi na taasisi...
39 Reactions
219 Replies
7K Views
Sijajua ni kwanini Watanzania kuna wakati huwa tunajidharau bila ya kuwa na sababu zozote za msingi hasa pale tunapojihisi hatufanyi vizuri bila ya kuwa na data Wala taarifa yoyote. Sasa...
39 Reactions
127 Replies
5K Views
Hivi hivi Ndugu zangu, Ukweli ni kwamba , Yale Mabadiliko ya Sheria za Vyama vingi mwaka 1992, yalipoondoa Sheria ya Ugawaji majimbo kulingana na Idadi ya Watu, Kwa wakati ule wa Chama Kimoja, na...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama Kuna mwanaCCM kaisikiliza Hotuba ya LISSU kwa kutumia Akili zake with Open Heart and clear Mind , bila uchawa Wala kutanguliza matumbo na bila kushupaza Shingo. Mtakubaliana namimi, MWAKA...
24 Reactions
55 Replies
3K Views
Kama upinzani utakomaa na no reform no election ni rasmi vituo vya kupiga kura vya kawaida kutatokea vurugu ambazo zitaharibu utulivu na polisi hawawezi tuliza ghasia vituo vyote nchi nzima...
0 Reactions
12 Replies
793 Views
Kwa mnyukano unaoendelea ndani ya chama kinachoongozwa na adui wa demokrasia Tundu Lissu ni wazi kuwa laana mbalimbali za kupuuza ushauri uliwahi kutolewa na wabobezi wa siasa za nchi hii nikiwemo...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Mfumo wa CCM wakupata wagombea hautegemei kukubalika kwa wagombea kwa wanachama. Ni mfumo unaotegemea unajipendekeza vipi kwa wakubwa. Mfumo huu umepelekea wanaccm wengi wenye akili na nguvu...
0 Reactions
0 Replies
329 Views
== Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ndg. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati kuu pamoja na Halmashauri kuu ya CCM , Jijini Dodoma.
16 Reactions
61 Replies
4K Views
Katika Ukurasa wake wa (X) zamani tweeter Mkurugenzi wa PPP-Cetre Tanzania Bw David Kafulila amesema kuwa utafiti uliofanywa na taasisi ya kitafiti ya Steadman au SYNOVETe mwaka 2008 ulibaini kuwa...
25 Reactions
234 Replies
6K Views
Kuna vitu vinafanyika nchini hadi unapatwa na vicheko ukifikiria yanayoendelea halafu watawala hata hawajali, wanapiga hela na wanatutambia Baadhi ya mambo yanayochekesha nchini na serikali...
4 Reactions
6 Replies
629 Views
Lissu kataza awa wafuasi wako kuendelea kutumia jina la Soka kufanya siasa chafu za chuki. Mnawaumiza ndugu zake Soka kuendelea kutumia maswahibu yaliyomkuta huyu kijana kupata uungwaji mkono...
1 Reactions
6 Replies
449 Views
Siku hizi, kila jaji, mbunge, mtawala, viongozi wa dini, na matajiri wanaimba wimbo mmoja wa mama anaupiga mwingi. Sijui mwingi upi na vipi na kwa vipi. Je muungano huu utaiokoa au kuizamisha...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Maandalizi ya mkutano wa viongozi wa Chama Taifa na watia nia wa nafasi ya ubunge katika majimbo mbalimbali nchini yamekamilika katika ukumbi wa Makao Makuu ya Chama, Mikocheni Dar es salaam...
0 Reactions
8 Replies
922 Views
Kuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife Mwanae...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Nikiwaangalia watia nia ni kama hawako pamoja na Lissu, masikio yao "yanamkataa" Lissu. Nadhani alitakiwa kwanza awasikilize kabla ya kuanza kuwahubiria mambo yake. Uongozi wa up-down ni wa...
0 Reactions
34 Replies
1K Views
Eneo la uwekezaji la Bagamoyo iliwepo Bandari limepata mwekezaji Mpya ambae ataliendeleza, kampuni ya SADC kutoka Saudi Arabia baada ya China na Oman Kushindwa Kuendeleza. Pia soma Serikali...
7 Reactions
225 Replies
13K Views
== Tofauti sana na Watanzania wengi wanavyofikiria kuwa Hayati Mwl JK. Nyerere hakuihitaji Sekta binafsi PPP, Haya mawazo si ya kweli, Ukweli wa wazi MwL JK. Nyerere aliamini...
28 Reactions
197 Replies
11K Views
Back
Top Bottom