Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Masanja Kadogosa ameahidi kutoa milioni 10 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa...
1 Reactions
54 Replies
2K Views
Kada huyu wa CHADEMA Romanus Mapunda amelimwa barua na kamati ya utendaji tawi na Mtongani kata ya Kunduchi jimbo la Kawe kwa tuhuma mbili. Soma, Pia: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema Siku CHADEMA ikifa haki ya Mungu mtapigwa mnada, hiki ni chama Chenu kiwekeni moyoni mwenu” Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
5 Reactions
12 Replies
732 Views
Kwanza hongera Kikwete mwaka 2005 ulishinda kihalali Na hongera Mkapa 2000 ulishind kihalali . Baada ya hapo CCM. Haijawahi kushinda uchguzi wowote
1 Reactions
4 Replies
299 Views
Helow! Kurejea kwa mwanamikakati mahiri ndani ya chama kumeleta upya nguvu iliyokuwepo kabla ya gia Ile kubadilishiwa angani . Dr Slaa anarudisha kundi lile kubwa lililokuwa nyuma yake ambalo...
17 Reactions
98 Replies
4K Views
Kuna UPUMBAVU mwingi na hujuma nyingi sana zinaendelea juu ya uongozi na utawala wa Mh Tundu Lissu, ninafikiri UPUMBAVU huu unapswa kusemwa na kukemewa hadharani , ikiwa ni lazima itabidi tuongee...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Mimi ni miongoni mwa watanzania wanaokupenda sana, na kukuombea ufanikiwe. Lakini naomba suala la utekaji na mauaji yenye mlengo wa kisiasa ulichukulie uzito mkubwa sana kabla ya uchaguzi mkuu...
2 Reactions
9 Replies
492 Views
Can't leave my country to dog! Mwl. Jk nyerere. Nyumbani kwetu ni hapa Tanzania hatuna uraia wa popote pale kama wenzetu.... More infos to come!
3 Reactions
52 Replies
1K Views
Akizungumza kwenye Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, Rais Samia amesema nchi yetu (Tanzania) imeendelea kuwa na Umoja na Mshikamano kwasababu viongozi...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
MSAADA wenu Tafadhali. Nahitaji kujua historia yake, malezi na makuzi, elimu, ujuzi na KAZI NA mambo mengi mengineyo. Asante sana
1 Reactions
6 Replies
641 Views
Ndugu zangu Watanzania, Serikali yetu kupitia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kupitia idara zake zote za usalama.ziwe macho na kuwa karibu sana na lissu na kumfuatilia nyendo zake pamoja na...
5 Reactions
92 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania wilaya ya Handeni Sophia Masimba amewataka makada wanaotarajia kugombea nafasi ya udiwani na ubunge na waliopo madarakani wilayani humo kuacha...
0 Reactions
2 Replies
291 Views
Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Yusuf Makamba, amewataka Watanzania kumuombea Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ushindi, afya njema umri mrefu kutokana na kujitoa kwake kwa dhati...
1 Reactions
3 Replies
360 Views
Mbunge wa Bumbuli na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, Mhe. January Makamba amesema kuwa Wana-Bumbuli wana vitu kwa kujivunia sababu wametoka mbali sana kimaendeleo ukilinganisha na miaka ya nyuma...
0 Reactions
1 Replies
373 Views
Kwangu mimi naona Augustino Lyatonga Mrema, Dr. Wilbroad Slaa, Maalim Seif na Tundu Antipas Lissu wamekuwa viongozi wenye ushawishi na mvuto katika siasa za upinzani Tanzania.
1 Reactions
15 Replies
651 Views
Ipo tofauti kati ya wateule wa mungu na wateule wa shetani ibilisi Lucifer mkuu wa Giza ! Wateule wa mungu huingia madarakani kwa kura halali hawakuibia haki ya mtu Wala hawakunyang'anya kura ya...
4 Reactions
39 Replies
1K Views
Hivi kweli hii ni haki kwa Jeshi la Magereza kutendewa hivi na Serikali yao! Kazi ya serikali imebaki kujigamba kwa kununua mabomu ya machozi kupambana na vyama vya upinzani ili iendelee kutumia...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Moja ya mambo ambayo ccm waga haivumilii ni kuona mwanachama anakengeuka na kwenda kinyume na makubaliano ya chama, ni mwanachama kuondoka mwenyewe kwenye chama au kufukuzwa uanachama. Makala kwa...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Ni miaka mitatu ya hasara kwa mashirika makubwa ya umma, ndivyo unavyoweza kueleza. Hasara hizo zimetajwa katika ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za mwaka 2021/22...
2 Reactions
0 Replies
602 Views
Back
Top Bottom