PreGE2025 John Heche: Siku CHADEMA ikifa haki ya Mungu mtapigwa mnada

PreGE2025 John Heche: Siku CHADEMA ikifa haki ya Mungu mtapigwa mnada

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,096
Reaction score
7,124
Kwan hao Chadema wamewahi kuzuia nn kisifanywe na ccm?
 
Hata wasipofikia malengo yao.Hawawezi kufa,watafifia kama zilivyofifia TLP na NCCR.na kitakuja chama kingine chenye upinzani kama walivyokuja wao! Kila jambo na wakati wake.
 
Hata wasipofikia malengo yao.Hawawezi kufa,watafifia kama zilivyofifia TLP na NCCR.na kitakuja chama kingine chenye upinzani kama walivyokuja wao! Kila jambo na wakati wake.
kama ambavyo ccm ilishakufa na imebaki dola tu ndo inaendesha nchi kwa mgongo wa watu wachache kutoka ccm au siyo.
 
kama ambavyo ccm ilishakufa na imebaki dola tu ndo inaendesha nchi kwa mgongo wa watu wachache kutoka ccm au siyo.
Kilikufa lini mkuu?
Kama unakubali kuongozwa na chama kilichokufa,je wewe utakua katika hali gani?
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema Siku CHADEMA ikifa haki ya Mungu mtapigwa mnada, hiki ni chama Chenu kiwekeni moyoni mwenu”

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

kweli betingi ni mbaya,
heche alifilisiwa pension yote ya ubunge leo hii anajuta hana chochote na hajafanya chochote popote na pension ya ubunge, dah, majuto ni mjukuu.

awaeleze vijana vizuri kwanaza kama kweli ameacha kubeti au anawazuga tu :NoGodNo:
 
Atapigwa mnada yeye na familia yake, ana madeni kila kona kwa dhamana ya uongozi alionao Chadema.
 
Back
Top Bottom