Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHADEMA wakimtangaza mgombea urais,nchi itakuwa tayari kwa Uchaguzi. Lakini badala ya kumtangaza mgombea urais CHADEMA wanafanya utalii mikoani. Halafu Chadema hawana upendo na Umoja katika Chama...
1 Reactions
5 Replies
462 Views
Akiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm...
18 Reactions
112 Replies
4K Views
Tunao manabii kadhaa nchini. Tuseme hawakuona hili tetemeko kabla ya kutokea?
0 Reactions
13 Replies
559 Views
Mtu yeyote akikuuliza tofauti ya Mbowe na Lissu mjibu hivi ili uchukue maksi zote 100. 1. Mbowe is a stateman, Lissu hata robo hajafika huko 2. Mbowe ni kiongozi mwenye strategies nyingi sana...
8 Reactions
66 Replies
3K Views
Umoja wa Wanaume Tanzania unatarajia kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwezi huu wa nne na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano mkubwa wa umoja huo utakaofanyika Dodoma. Malengo...
8 Reactions
93 Replies
4K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara,Stephen Wassira alifanya ziara katika mkoa wa Simiyu kuanzia Machi 28-30 mwaka huu kwa kutembelea wilaya zote za mkoa huo ambazo ni Maswa, Meatu...
0 Reactions
1 Replies
397 Views
Tundu Lissu ana kitu ambacho Wanasiasa wengi na Maprofesa wa Nchi yetu hawana, UTAFITI.... Kwa mfano, katika moja ya mijadala ya TV ya ''Chief Odemba'' ambaye ni mtangazaji na muandaaji vipindi...
16 Reactions
115 Replies
4K Views
Tundu Lissu ndiye mbunge wa kwanza duniani kuingia bungeni na vitabu vingi na kuvitumia vyote kujenga hoja zake. Kumshinda lissu kwa hoja, ni lazima uwe umesoma sana
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Heshima sana wanajamvi, Mbunge wa Rufiji Mohamed Omary Mchengerwa amehudumu katika Wizara kadhaa za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Katika Wizara zote alizohudumu kaacha kilio kikubwa na simanzi...
29 Reactions
104 Replies
11K Views
Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa. No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamemtaka Mbunge wao, January Makamba, kujiuzulu nafasi hiyo kwa madai ya kushindwa kutekeleza ahadi alizotoa wakati wa kampeni. Wakizungumza na...
0 Reactions
6 Replies
545 Views
Chama cha Demokraska na Maendeleo CHADEMA kupitia kwa Katibu Mkuu wake Bw. John Mnyika leo Aprili 02, 2025 kimetangaza kutengua uteuzi wa Bw. Julius Mwita, aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya...
10 Reactions
50 Replies
4K Views
Dada na kaka wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama vile KANU, MCP, UNIP na wengine walishasahaulika. Ajabu, CCM bado inatesa. Je, pamoja na ukale wake kiutawala na kisera, nini siri ya CCM kuendelea...
0 Reactions
3 Replies
309 Views
Nadhani Mbunge awe na degree au diploma kwa sababu kuna mikataba inaingizwa mule bungeni, usipokuwa na elimu na information za kutosha tutajikuta tunatunga sheria haziendi kuleta maslahi na Ustawi...
1 Reactions
12 Replies
648 Views
Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Ila Serikali ya CCM Ina maigizo mpaka Shetani anashangaa . RC Chalamila aliposikika anamwambia Mjamzito kama hawezi kuchangia aende Mumewe ampasue, Kila Neno lilisemwa. Sasa huko Arusha ...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Tayari viongozi wa juu wa CHADEMA wanaonyesha wanawagombea wao mfukoni !! Ukisema unawaita watia nia unajuaje kwamba Jimbo Moja Lina watia nia wangapi ? Mfano Mimi Niko Jimbo la Ileje na watia...
2 Reactions
14 Replies
772 Views
Hawa jamaa kwenye mambo yao mengi naona wanatumia salamu za kijeshi. I am curious to understand, je hawa jamaa ni wanajeshi kamili na hayo mamlaka wameyatoa wapi?
0 Reactions
9 Replies
617 Views
Katika jamii zetu, kuna dhana potofu kwamba "siasa si yetu"—kwamba wale waliopo kwenye biashara au waliojiajiri hawaathiriki moja kwa moja na mwelekeo wa uongozi wa nchi. Wafanyabiashara wengi...
0 Reactions
0 Replies
246 Views
Namuulizia waziri wa Mkapa aliyesimamia ununuzi wa ndege ya Rais akatuzarau kwa kusema hata kama nyasi tutakula lakini lazima ndege ya Rais inunuliwe, Nakumbuka kama inchi tulikuwa tunakabiliwa na...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom