Kuna ka kisiwa mita kadhaa kutoka Kigamboni, kabla Jumbe hajapelekwa ANSUYA NAVAS kisota alianzia huko inasemekana,
Nauliza kaliendelea kutumika kuficha waarifu, wahujumu uchumi na watuhumiwa wa...
Habari ya kunishtua kidogo ni kwamba magwiji matycoon, watakuwa nje soon , ama kwa dhamana au kwa makubaliano maalumu,
Nadhani hawakupaswa watoke maana Magufuli alionesha uthubutu wa kuwaweka...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimebainisha misingi mikuu inayokifanya chama hicho kuendelea kuaminiwa na kushinda chaguzi kuu za kiserikali nchini Tanzania.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akiwa Mbarali, Mbeya Juni 22, 2026 amesema
"Tuko kwenye ziara. Leo ni siku ya tano. Na tangu nimeanza mikutano ya...
Nimemsikia mtoto mmoja wa shule hapo hajui hata wajibu wa Mbunge, anasema John Heche amesoma shule ya Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi Bulima, ni kweli nimesoma shule ya Bulima lakini...
Kama mtamzania niliyeishi kwenye tawala zote tangu tupatie uhuru hadi Leo hii nashindwa kujua.
Kumekuwa na matukio mengi sana hapa nchini yanafanyika kila kukicha hasa ya kutisha kabisa na mtu...
- Huyu shehe Mwaipopo, mnyakyusa bila shaka. Kuonyesha mbele ya camera kwamba anamiliki kikundi cha kigaidi ni jambo la kuogofya kitaifa na kimataifa.
- Kwa shehe kuonesha hadharani sura yake na...
Baraza la Machifu na Wazee wa Kimila Mkoa wa Ruvuma limekanusha kumtambua John Heche kama Chifu wa Wangoni, likidai kuwa tukio la kuvikwa uchifu Juni 20, 2026 halikufuata taratibu za mila na...
Katambi Awaonya Wahalifu na Maandamano haramu ya Tarehe 7
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amewaasa watu wanaotoa kauli za kichochezi katika mitandao ya kijamii, majukwaa ya...
🚨 BREAKING NEWS: WE WON TODAY! 🚨
Na Tausi Likokola, Washington DC - USA
We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice.
The Reassessing the United...
CHADEMA mngemsikiliza Yericko Nyerere kuhusu ruzuku msingefikia hapa mlipofikia. Yericko alionya kuwa ni ngumu sana kuendesha chama bila ruzuku. Chama hakiendeshwi kwa michango kwa nyakati...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekanusha vikali madai yaliyomo kwenye rasimu ya hoja ya kimataifa inayovumisha kuwa nchi hiyo "ilikataa" ziara ya Kamati Ndogo ya Bunge la Ulaya...
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Buluba Mabelele, ametoa msimamo wake kuhusu sakata la mwanasiasa wa upinzani, Tundu Lissu, akieleza kuwa yuko upande wake na anatamani...
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini na Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Arusha Mrisho Gambo amesema kuwa kila mtu anahitaji kuona taifa lenye misingi imara ya maridhiano, amani na upendo, hata hivyo ili...
WATEJA WAPYA 1500 WAENDELEA KUUNGANISHIWA MAJI MWANZA
Agizo la Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kwa watendaji wa Wizara hiyo la kuwaunganishia huduma ya maji safi wananchi limeendelea kutekelezwa...
Askofu huyu amekuwa mstari wa mbele kuonyesha kutofurahishwa na namna CCM na delegates yake inavyoongoza nchi hii akijinasibu kuwa mpenda haki!
Na mimi kama mdau wa haki ninaungana nae mara kwa...
Wakazi wa Dodoma wamejitokeza na kuizunguka Airport ya Jiji la dodoma wakisubiri kuona Mwili wa Mh Rais Magufuli ukishuka tayari kuagwa hapo kesho.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
DODOMA NI...
Wakati Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer akijiuzulu leo Juni 22, 2026, historia inaonyesha kwa miaka 10, wameshajiuzulu mawaziri sita.
Tatizo ni kwamba mfumo wa kisiasa wa Uingereza unafanya...