Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa X kimedokeza kwamba Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, uliopangwa kufanyika katika Jimbo la...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi limemzuia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche kuzungumza na wananchi wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya Jumanne tarehe 25 Machi 2025...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
TLS tuliitisha Mdahalo wa Kitaifa kuzungumzia Utekaji Baadhi ya sababu kuu zinazochangia utekaji kulingana na mjadala ule ni pamoja na Udhaifu wa mifumo ya utendaji wa Jeshi la Polisi ( Colonial...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
Akizungumza kwenye Mkutano huo kabambe wa Kusambaza No Reform No Election, Tundu Lissu Amemuelezea DC wa Wilaya hiyo aliyejaribu kuvuruga Mkutano huo wa Chadema kama kijana aliyejaa laana na mtu...
15 Reactions
27 Replies
2K Views
Katika kuadhimisha Wiki ya Mama, Timu ya Kampeni ya Mama Asemewe imefanya ziara katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, ambapo wameeleza umuhimu wa kuchagua viongozi bora kuelekea...
2 Reactions
37 Replies
1K Views
Asalam Aleykum, Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristu, Mwanakondoo Ameshinda, Bwana ni Mwema. Ama baada ya salamu hizo, naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu. Baada ya uchaguzi wa CHADEMA...
0 Reactions
2 Replies
487 Views
Ni lini mishahara ililipwa tarehe 15 au 20 ya mwezi unaofuata? Mimi sikumbuki aisee kwenye utawala wa Kikwete sikumbuki nasisitiza kama kuna mtu anakumbuka aniambie.
33 Reactions
255 Replies
22K Views
Binafsi nashangazwa sana na mambo ya CCM na serikali yake, juzi tumeona wakiwa kwenye mkutaao wao mpaka watu wao walibebwa na gari la polisi lakini leo ajabu polisi haohao wanaagizwa na serikali...
0 Reactions
1 Replies
244 Views
Namwona huyu mama kimwili ni CCM ila ndani ya moyo wake ni No reform No election..msikilize hapa.
4 Reactions
55 Replies
2K Views
Wananchi mkoani Tabora wametakiwa kutumia mfumo wa kidijitali wa E-RITA ili kurahisisha mchakato wa upatikanaji wa huduma za mamlaka hiyo vyeti vya kuzaliwa na vifo. Rai hio imetolewa na Afisa...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Huenda maajabuna rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi...
6 Reactions
85 Replies
2K Views
Dkt. Slaa awaomba radhi CHADEMA hadharani kwenye Mkutano Mbeya, ataja kilichomrudisha kundini, aapa kupambana kuiondoa CCM madarkani Soma Pia: Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Mfanyabiashara wa pembejeo za kilimo na mifugo, Yohana Zakaria, mkazi wa Katoro mkoani Geita, anaendelea kumtafuta mkewe, Tatu Kimori, ambaye alitoweka nyumbani tangu Machi 2 mwaka huu. Tatu...
0 Reactions
1 Replies
480 Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya. "Mbunge wako akiugua Mungu ametuweka Tanzania nchi...
1 Reactions
3 Replies
472 Views
Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Sheikh Hassan Kabeke, amesema kuwa kumeanza kutokea viashiria vya lugha mbaya zinazotoka kwa viongozi wa kisiasa nchini...
0 Reactions
1 Replies
349 Views
Sheikh Rashid Akilimali, Sheikh wa Mkoa wa Rukwa, amewahimiza wananchi kudumisha amani na utulivu wakati taifa linaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Ametoa pongezi kwa Rais Dkt. Samia...
1 Reactions
5 Replies
497 Views
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele Wakati Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikifunga mchakato wa kuchunguza na kugawa majimbo Machi 26, 2025, kumekuwa na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Unapofikisha Umri wa Miaka 18 au unapoelekea kutimiza ni jukumu lako kuhakikisha unakuwa na Kadi ya Kupiga Kura, Watu wanatakiwa kutambua unapokuwa na kadi hiyo siyo lazima uwe Mwanachama wa chama...
0 Reactions
2 Replies
528 Views
Hoja za Mchome wa Chama kupinga maamuzi ya Baraza, Kamati Kuu na maamuzi yake siyo hoja inayoweza kutikisa chadema kwa vile hata anayoyalalamikia kama ni kweli yanaweza kurekebishwa kwa kuitisha...
1 Reactions
8 Replies
502 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo tarehe 24 Machi, 2025 akiwa katika Wilaya ya Magharibi B amewataka Wananchi kushirikiana na Viongozi wao ili waweze...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…