Binafsi nashangazwa sana na mambo ya CCM na serikali yake, juzi tumeona wakiwa kwenye mkutaao wao mpaka watu wao walibebwa na gari la polisi lakini leo ajabu polisi haohao wanaagizwa na serikali kuzuia mkutano wa Chadema. CCM ni chama tawala na ndicho kilichoshikilia dora, je ni nini shida yao kwa Chadema!? Chama kinachojitegemea na kujipambanua kwa upekee pasipo kutegemea promo kutoka kwenye makundi tofauti kama wasanii, nk? Kifupi CCM imekufa yenyewe thus why wanaona kuwakiwa joto hili suala lazima litanyong'onyesha afya ya nchi na mwisho wake tutaangukia kwenye machafuko yatakayo kuja kuleta maafa makubwa kwa nchi, CCM wajitafakari tabia za kukaza [emoji88][emoji88] itawagharimu