Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa kupitia kundi la vijana kutoka Zanzibar, Muhsin Ussi , amesema wao kama vijana kazi yao kubwa ni kulinda amani ya nchi na kwamba hawatamvumilia yeyote...
0 Reactions
11 Replies
780 Views
CPA Makala anasema chadema wanakusanya pesa za kununua virusi🦠 vya ebola na MPOX Ili uchaguzi usifanyike. Sasa Makala hizo siasa zako nani anakuelewa? Unaongea na population ambayo nusu yake ni...
13 Reactions
75 Replies
3K Views
Pafukapo moshi ujue kuna moto, Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti. Kikao...
11 Reactions
149 Replies
8K Views
John Heche awa Mbogo kuhusu Makalla kudai CHADEMA italeta Mpox na Ebola, 'Ni mjinga na mhujumu uchumi' ataka Habari Leo wafunguliwe kesi Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza...
1 Reactions
0 Replies
761 Views
Realistically, wenye akili wanategemea as soon as possible umuite Amos Makala na kumkanya na kumpa onyo publically atoe maelezo na ushahidi wa hiki alichokisema. Short of that hutaeleweka. Soma...
5 Reactions
13 Replies
794 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu George Mkuchika ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Newala Mji mkoani Mtwara ametangaza rasmi kutogombea ubunge katika uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu...
12 Reactions
98 Replies
5K Views
Bodi ya Ligi walikosea sana kuhairisha Dabi kati ya Timu za Yanga na Simba. Tujiulize maswali yafuatayo:- (1) Simba walipofika uwanjani hawakumkuta Meneja wa Uwanja, Kamisaa wa mchezo huo na...
1 Reactions
3 Replies
397 Views
Mabasi mapya ya Mwendokasi yanayotumia gesi yatawasili Aprili mwaka huu, lengo ni kuongeza matumizi ya nishati safi. Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART), imesema kuanzia Aprili mwaka huu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kada wa CCM, Godfrey Sitta amedai kuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu, Naboth Manyonyi amenunuliwa na mfanyabiashara mkubwa ambaye amekua akisumbua kwa kugawa hela mchana na usiku...
4 Reactions
10 Replies
799 Views
Wakuu Wananchi wa Arusha walifunga barabara kwa mawe wakipinga hali mbovu ya miundombinu, huku wakimtaka kiongozi wa TARURA, Vickey Chisoma, aseme ukweli kuhusu changamoto hiyo. Kupata matukio...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana...
48 Reactions
609 Replies
30K Views
Disclaimer: Mimi ni mwanachama wa CCM. Siasa zinagusa maisha ya kila siku ya mwanadamu kwani sera zinazotungwa au maamuzi yanayofanywa na wanasiasa yana athiri moja kwa moja maisha ya kila mtu...
4 Reactions
9 Replies
579 Views
Chama Cha Mapinduzi CCM kimesema ilani yake ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu, itakuwa na majawabu ya changamoto mbalimbali za vijana ikiwemo namna ya kutatua changamoto ya ajira. Hayo yameelezwa leo...
2 Reactions
10 Replies
586 Views
CHADEMA, Kuleta Mpox na Ebola Ukweli, Propaganda au Vita vya Kisaikolojia? Baada ya Kuisikia Kauli Ya Kiongozi katibu Itikadii Unezi wa @ccm_tanzania Taifa Dhidi ya @ChademaTz Kwamba CDM...
2 Reactions
9 Replies
776 Views
Uchaguzi unapaswa kuwa njia ya kidemokrasia ya wananchi kuamua viongozi wao kwa misingi ya sera na utendaji wao. Kiongozi akishindwa kutimiza ahadi zake, hapaswi kuchaguliwa tena. Lakini je, hilo...
1 Reactions
1 Replies
228 Views
Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Simiyu kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara katika mkoa huo, kwani wananchi wake wana shahuku kubwa ya kumuona na kumpa shukrani kwa kazi kubwa ya...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
AIBU YA CCM SIMIYU LEO TAR 22.0 JESHI LA POLICE LA SHIRIKI KUSOMBA WAJUMBE WA CCM KWENDA KWENYE MKUTANO WA MAKALA BARIADI.!!!* Na Mzee madiba Simiyu -bariadi. Leo tar 22.03.2025 mkoani Simiyu...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Changia CHADEMA TONE TONE. Nimo, umo, tumo Tone tone Changia Chadema, 0744446969 Chadema HQ
12 Reactions
35 Replies
2K Views
WAISLAMU WA JIMBO LA MTWARA VIJIJINI WAMUOMBEA DUA MBUNGE SHAMSIA MTAMBA KUENDELEA KWA MIAKA MITANO IJAYO Waislamu wa jimbo la Mtwara Vijijini wameonyesha msaada na upendo mkubwa kwa mbunge wao...
0 Reactions
2 Replies
445 Views
Wakuu Wajumbe wa Serikali ya Mtaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanatuhumiwa kuchukua majina ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, wakati wa zoezi la...
1 Reactions
5 Replies
503 Views
Back
Top Bottom